Visit Saudia vs Visit Rwanda

Visit Saudia vs Visit Rwanda

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
2,796
Reaction score
2,367
Ni maajabu, ama kweli ni maajabu ya 8 ya Dunia hii, na maajabu hayo si mengine bali ni maajabu yanayofanywa na timu ya wazee na vikongwe ya Simba Sports Club na uongozi wake.

Wameleta ubahili wao na Bodi nzima ya Mpira wa Tanzania wameshindwa kulitangaza taifa kabla ya michuano mpaka hitimisho la hapo kesho, walikuwa kimya! Sasa shujaa Kagame kaingia mzima mzima dadeki, Visit Rwanda kwenye ardhi ya mwenyeji na mwenyeji kabaki kutoa macho!

Simba ni kikundi fulani cha wachawi wachawi kikiundwa na vilaza na bimburukenge vya Magomeni Mapipa. Muwe na aibu, mashindano makubwa yanapita na hamna mlicholifanyia taifa kazi kuzurura Vingunguti na Buza kuuza kofia.

Endeleeni na ukenge wenu ila kwenye mahojiano tumeiona Visit Saudia na Visit Rwanda, sana sana tumemuona Bocco na Robatinho wa izii notiii iiizeeeeeee.
 
mnacrop picha mpka mnaziharibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20231019-121544.jpg
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Ni maajabu, ama kweli ni maajabu ya 8 ya Dunia hii, na maajabu hayo si mengine bali ni maajabu yanayofanywa na timu ya wazee na vikongwe ya Simba Sports Club na uongozi wake.

Wameleta ubahili wao na Bodi nzima ya Mpira wa Tanzania wameshindwa kulitangaza taifa kabla ya michuano mpaka hitimisho la hapo kesho, walikuwa kimya! Sasa shujaa Kagame kaingia mzima mzima dadeki, Visit Rwanda kwenye ardhi ya mwenyeji na mwenyeji kabaki kutoa macho!

Simba ni kikundi fulani cha wachawi wachawi kikiundwa na vilaza na bimburukenge vya Magomeni Mapipa. Muwe na aibu, mashindano makubwa yanapita na hamna mlicholifanyia taifa kazi kuzurura Vingunguti na Buza kuuza kofia.

Endeleeni na ukenge wenu ila kwenye mahojiano tumeiona Visit Saudia na Visit Rwanda, sana sana tumemuona Bocco na Robatinho wa izii notiii iiizeeeeeee.
Hahahahahaha,nasemaga humu watanzania uwezo wa akili mdg, kutwa mnabishanaga ujinga tu
 
Akili muhimu saana!! Unajua visit rwanda wapo hapo kama nani, sasa simba ingefanyaje, visit Tanzania ilikuwa ni ihsani tu ya simba kwa utalii wa bongo.
Hapo visit rwanda kalipa pesa, ulitaka simba wailipie tanzania ili visit tanzania iwepo?
 
Ningekushauri

1. Ujifunze kuandika.
2. Ujifunze kupangilia hoja.
3. Ujifunze kuwasilisha Hoja.

PUNGUZA MIHEMUKO MWANAUME WEWE.....
 
Simba inaangalia biashara pia itaingiza sh ngapi, kuandika VISIT TANZANIA walikuwa hawalipwi ni hisani tu, na walikuwa wanaandika kwenye kifua cha jezi kwasababu ya hatua walizofikia maana CAF hairuhusu jezi zenye udhamini wa makampuni ya kubet maana wao wana 1XBET, Simba kuona hivo kuliko kifuani pakae tu wakaweka VISIT TANZANIA, Je sasa watangaze bure?huo ni uamuzi wao, serikali ndo inapaswa waweke dau kwa ajili ya matangazo
 
Back
Top Bottom