Visit Saudia vs Visit Rwanda

Visit Saudia vs Visit Rwanda

Ni maajabu, ama kweli ni maajabu ya 8 ya Dunia hii, na maajabu hayo si mengine bali ni maajabu yanayofanywa na timu ya wazee na vikongwe ya Simba Sports Club na uongozi wake.

Wameleta ubahili wao na Bodi nzima ya Mpira wa Tanzania wameshindwa kulitangaza taifa kabla ya michuano mpaka hitimisho la hapo kesho, walikuwa kimya! Sasa shujaa Kagame kaingia mzima mzima dadeki, Visit Rwanda kwenye ardhi ya mwenyeji na mwenyeji kabaki kutoa macho!

Simba ni kikundi fulani cha wachawi wachawi kikiundwa na vilaza na bimburukenge vya Magomeni Mapipa. Muwe na aibu, mashindano makubwa yanapita na hamna mlicholifanyia taifa kazi kuzurura Vingunguti na Buza kuuza kofia.

Endeleeni na ukenge wenu ila kwenye mahojiano tumeiona Visit Saudia na Visit Rwanda, sana sana tumemuona Bocco na Robatinho wa izii notiii iiizeeeeeee.
KWA MASHINDANO YA AFL KUFUNGULIWA TANZANIA TAYARI TANZANIA IMETANGAZIKA KIMATAIFA KULIKO RWANDA NA SAUDI ARABIA.
MAANA WATU WAMEIONA TANZANIA ILA RWANDA WAMEONA JINA KUPITIA UWANJA WA TANZANIA.
 
Kagame akili nyingi ya kuona fursa.

ukiona neno"visit Rwanda"kwenye jezi ya Psg,kwenye mabango ya uwanja wa Arsenal au michuano ya AFL ujue ni hela,Kagame kaweka hela sio maneno.

Simba alikua akifanya hivi lakini nchi yenu inaongozwa na watu wenye akili ndogo sio kama Kagame akili nyingi.
TOKA HUYO RWANDA AWEKE PESA KUITANGAZA RWANDA KUPITIA ARSENAL NA PSG HAJARUDISHA FAIDA KAMA NI BIASHARA NI SAWA ANANUNUA BIDHAA 40 KESHA ANAUZA KWA 25.
MAANA MIONGONI MWA MATAIFA YANAYOTEMBELEWA NA WAGENI WACHACHE PIA YANA PATO DOGO KUPITIA UTALII NI RWANDA BRO.
 
Back
Top Bottom