Visit Tanzania ya Simba na mtazamo wa Kigwangalah

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Kwa jinsi hali ilivyo Hamis kigwangalah au Nassoro kamma anavyofahamika na wazazi wake jamaa ni mpigaji wa kiwango cha kutisha

Hivi aliwezaje kupiga pesa wizarani tanapa na ngorongoro bila magufuli kumshughulikia au ikikuwa duo hyo au ndo ukanda unaosemwa?

Swali moja najiuliza iwapo alikusanya wasanii na pesa zikapigwa ingekuwaje DEAL YA SIMBA VISIT TANZANIA INGEMKUTA SHEIKH NASSORO YUKO WIZARANI...

KIGWA WE NOMA
 
Huyu si alishirikiana na matapeli wa Q-net kwa kupiga nao picha ili kuwahadaa wananchi wanaoamini viongozi wa serikali? Au sio huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…