M Mwanagenzi JF-Expert Member Joined Sep 11, 2006 Posts 738 Reaction score 273 Sep 25, 2024 #1 Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi? Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi...... Pia Soma: Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato Isiyoisha. Ulitarajiwa Kuwa Legacy ya Samia Pia Soma: LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati Any updates?
Inawezekana Visiwani wakaanza mradi mkubwa wa uchimbaji gesi kabla ya mradi wa uchimbaji gesi ya LNG Lindi? Naona upande mmoja umekuwa kimya sana ilhali upande mwingine mambo yameshika kasi...... Pia Soma: Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato Isiyoisha. Ulitarajiwa Kuwa Legacy ya Samia Pia Soma: LNG Project: Njooni tujadili unadhani kwanini mradi wa gesi ya LNG unachelewa na nini chakufanya ili utekelezwe kwa wakati Any updates?
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Sep 25, 2024 #2 Gesi si jambo la muungano bila shaka
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 1,317 Reaction score 1,817 Sep 25, 2024 #3 Hadithi ya mafuta na gesi Zanzibar ni hadithi tu.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Sep 25, 2024 #4 Mtutuwandei said: Hadithi ya mafuta na gesi Zanzibar ni hadithi tu. Click to expand... hata yakitoka kikombe tupo radhi kila mzanzibari achovye na kujipaka usoni shekhe
Mtutuwandei said: Hadithi ya mafuta na gesi Zanzibar ni hadithi tu. Click to expand... hata yakitoka kikombe tupo radhi kila mzanzibari achovye na kujipaka usoni shekhe