KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

KING ASSENGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2016
Posts
928
Reaction score
1,478
Juzi niliamua kuingia soko la mitumba Karume kwa mara ya kwanza. Kweli ni sehemu nzuri ya kupata nguo nzuri za mitumba. Ila kuna kero moja isiyovumilika kwa watu tunaopenda ustaarabu.

Kila mfanyabiashara ana spika kwahiyo kelele za pale zimekuwa ni kero kubwa sijui wenyewe wanaonaje ila kwangu palinishinda. Yaani hizi spika ni kero sana.

NEMC WAZIPIGE MARUFUKU NI UCHAFUZI WA MAZINGIRA

 
Wana tabia pia ya kushika wateja kuwalazimisha waende wanapotaka wao
As if wewe hujui unakoenda πŸ˜†

Hii tabia sijui wameacha? Sijafika karume miaka minne hii
Sometimes una waacha tu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Joto lile ubongo huwa unachemka vibaya mno
 
Wana tabia pia ya kushika wateja kuwalazimisha waende wanapotaka wao
As if wewe hujui unakoenda πŸ˜†

Hii tabia sijui wameacha? Sijafika karume miaka minne hii
Hawa wengine inaonekana wanataka kushika wanaowataka kuwashika, wanatumia biashara kama kigezo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…