Serikali haiwezi kuwapanga watu kama kasi ya watu kuongezeka imekuwa kubwa kuliko uwezo wa serikali kujipanga kuwapanga watu.
Katika kitabu chake "Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania, 1960- 1964", Profesa Paul Bjerk alieleza jinsi serikali ya Tanganyika na baadaye Tanzania ilivyoanza kwa ari kubwa ya maendeleo mara tu baada ya uhuru.
Serikali ilipanga mambo mengi sana ya maendeleo. Ilijenga shule, hospitali etc.
By 1965 ikafikia target nyingi muhimu ilizoweka katika mpango wa kwanza wa maendeleo. Lakini kulikuwa na tatizo moja kubwa.
Serikali ilikuwa haijaweka kasi ya ukuaji wa idadi ya watu katika hesabu zake, kwa hivyo, ingawa ilifikisha targets zake by 1965, by that time targets zilikuwa outdated.
Hili tatizo linaendelea mpaka leo.
Katika miaka 20 ijayo, Dar es salaam ita double population kutoka takriban watu milioni 7 wa sasa mpaka takriban watu milioni 14.
Hiyo serikali ya ku deal na hiyo population explosion iko wapi?
Hii hii tuliyonayo au tutachukua ya kukodi kutoka nje?