KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
KUNA HAWA WANAOUZA SIMU NA VIFAA VYA UMEME,,, NA KUINGIZA NYIMBO NA MOVIE,, NI KELELE TUUPU... UNAKUTA ZIMEPANGWA SPIKA FULL ZA DISKO VUMBI HALAFU NI KUANZIA ASUBUHI MPAKA SAA 5 USIKU UNAVURUMISHWA MZIKI NA MAKELELE YASO NA MSINGI..
 
Matangazo sio lazima yawe ya kelele na usumbufu, hata ukibandika vibao vya kuonyesha bei nayo ni matangazo.
SAHIHI lakini kutokana na ushindani inakuwa ngumu kidogo
 
pembeni ukute wanaimba wengine na kupiga makofi
F*ckg boring, yani katika mambo yanafanyaga hata nishindwe kwenda karume ni hizo kelele, ukitokea tu barabarani ushapokelewa na watu mikelele dada gauni huyu viatu huyu nini....sipendi kwenda karume ni kero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…