Visungura, Shisha vyazidi kuteketeza Vijana nchini

Visungura, Shisha vyazidi kuteketeza Vijana nchini

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1687672646680.png

Idadi ya wanaugua Magonjwa hatari yasiyoambukiza ikiwemo Kiharusi, Shinikizo la Juu la Damu, Maradhi ya Moyo imetajwa kuongezeka kwa kasi nchini ambapo wengi wao ni wenye miaka kati ya 20 hadi 40,

Madaktari Bingwa watoa onyo Serikali ichukue hatua za haraka kudhibiti biashara ya Pombe Kali za Bei Rahisi.
 
wacha wafe aisee. kwanza is the easy way of inhibit improper increase of people (overpopulation)
 
Nchii ina vijana wa ovyoo kabisa!! Yaani tufunge viwanda kisa vijana wanaokunywa irresponsibly???
 
Vijana wa sasahivi hawajali mbele yao itakuwaje.NO FUTURE.
Kama mtu anaendesha pikipiki kainua miguu yote juu we unapata shida ya nini kumuwaza
 
Tatizo mocktail na cocktail hazipatikani kiurahisi, ni mbadala mzuri sana wa hili janga
 
Visungura ni janga la taifa
Kila kijiwe ukienda lazima ukute vichupa vya visungura vilivyotumika
 
Bei iongezwe 20,000/=~50k kwa chupa.
 
Kuna kijiwe cha jamaa kila siku anajaza kiroba cha vichupa tupu vya smat Gin (visungura)
 
Back
Top Bottom