Vita Baridi

Vita Baridi

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi?
 
aibu tupu. Tulisema hatufangamani na upande wowote. Mabepari walitunyima misaada na hata wajamaa wakatunyima misada.
Misada waliyotupa ni ile ya kutufanya tuendelee kuishi tu.
 
Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi?

Tanzania ilizidi kuwa masikini, Utamaduni - sikuona mabadiliki yoyote.
 
Back
Top Bottom