Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mkuu kuna watu wanazungumza kiushabiki humu bila kujua madhara yake. Mbowe kwa siku nyingi anajijua kuwa anawindwa kisiasa, hivi ni wazimu gani waweza kumfanya akaingia kwenye biashara hatari huku akijua ana windwa kila mahala?Kuna hidden agenda mbona mwenye St.Maria hajatajwa??
Ninachofikiri ni lengo la kumdhalilisha kisha awe muoga na kurudi nyuma. Hakika njama hizo haziwezi kamwe kushinda.
Yule ni KUB na kama alikuwa ana jambo la kuhojiwa sio stahili kwa Makonda kutamka eti aje ijumaa ahojiwe, wangeweza mfata Dodoma na kumhoji au IGP kumtumia wito. Kwani mtu akisema Majaliwa PM anahusika Makonda angeweza kutamka pale kuwa aje Ijumaa central?
Kibunge KUB na PM wana hadhi zinazoendana labda sie hatutaki kukubali tuu.