Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Dawa itawaingia awamu hii
hakuna kuangalia sura
 

Bilcanaz badi ipo......
 
Upuuzi mtupu
Asema hao akina Mbowe wamekamatwa na ton ngapi,lini na wapi?Lengo hapa ni kuichafua CDM ionekane kama chama cha kihalifu
Jitu zima hovyoo!
Mbowe mungu kwenu
nimtanzania kama watanzania wengine
lazima atajwe kama wanavyo tajwa watanzania wengine
 
Angejisafisha kwanza ili tuamini kile anachokisema other wise ni drummer.
 
Labda atafafanua pia ile hoja ya Jose Msukuma jana bungeni kuwa ameepataje utajiri mkubwa alionao ndani ya miaka 3 tu
Wew ni teja au muuza madawa?mbona unaleta ujinga kweny mambo ya maana? Hyo Kesi yenu itafutieni muda now hatutaki kusikia mengine zaid ya wanaohusika na madawa.
 
Kumbe ndio maana mashambulizi makubwa (kuzidi drone) kwa Mkuu wetu wa Mkoa yametokea pande za Dodoma...
Kuna mtu alishahisi...maana si kwa kutetea huko...kuna watu hawajawai ku lose temper lakini juzi kati kwenye TV wametisha... eti wanatetea wasanii...kumbe wengine walijua hawako salama...

Mkuu wa mkoa aongezewe ulinzi...na maombi kwa ambao wanachukia bila unafiki hii biashara aisee
 
Haya mambo hayafanyiki kwa bahati mbaya mkuu. Ni rahisi kuona mchezo huu unavyochezwa. Lakini yote haya msingi wake ni aina ya watu tuliomo katika taifa hili. Majina ya akina Chidbenz, Wema; na the like yalitajwa kama maandalizi ya kuja kutajwa majina yaliyokusudiwa katika "character assassination". Kinachofanyika hakipaswi kupongezwa wala kushangiliwa kwa kuwa ni hatua ya pili ya kuligeuza taifa hili kuwa la visasi! Tuendelee kuomba!
 
Ya Mwaka huu ni Kali, Mambo mengi anayoyafanya Mkuu wa mkoa yalitakiwa kufanywa na Waziri wa Mambo ya ndani, lakini Naona Waziri yuko kimya Kama vile ahusiki kabisa. Kuna mambo mawili nayaona hapa. Ama amemsusia mkuu wa mkoa ama Amechukia,

Nakumbuka huyu Mh, aliwahi kujitosa ktk kinyang'anyiro cha kugombea Uraisi, Tafsiri yangu nionavyo, ni Kama mkuu ameamua Kumchomekea dogo ili huyu Waziri asisikike tena ili 2020 asije kumsumbua, kwa Sababa huyu Mchemba ni Kati ya vijana ngangari waliobaki CCM kwa sasa. Mimi namshauri Kama bado Ana nia ya kuja kuwa Raisi wa Nchi hii, ni bora ajitoe ili aanze Harakati mapema,namtakia kila la heri
 
Unapo sikia mtu katajwa
mjue uchunguzi mkubwa umefanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…