Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Kwa hiyo nikimpigia simu na kumwambia nanihii naye anatumia dawa, kesho atakwenda kwenye media kumtaja??? Ha ha ha, hii nchi sasa inakuwa hatari kweli kweli...

Hiki hujakisoma post namba moja? "Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikiri kazi yetu ni kuwasikiliza" - RC Makonda
 
Hawa walio tajwa wanatakiwa wamfikishe jamaa mahakamani wadai kulipwa fidia ya kuchafuliwa majina. Huyu mpayukaji anatakiwa kufundishwa adabu sasa
 
Kwa utawala huu uliojaa kutengeneza matukio na kuishi kwenye midomo ya media..nadhani uchumi wa viwanda tutasubir sanaaa
 
Mbowe bado muhimu ila kweli hizisoft politics za akina lowassa waachane nazo kabisa wanachezewa kwa sababu wamesuccumb ccm ya sasa ni mtulinga kwa mtulinga period
Sasa kama hawaruhusiwi hata kufanya mikutano wategemea nini?
 
JamiiForums mmeonesha namna gani mlivyo wa hovyo naomba Freeman Mbowe awashtaki JamiiForums kwa kumchafulia jina.
 
Hii
Hii video imefungwa tena, tuleteene tuisikilize vizuri.
 
Philemon Mbowe ni nani?
Mwenyekiti wa cdm si ni Freeman Aikael Mbowe, ndio maana kwenye radio alisikika kuongeza maelezo ili kuonyesha kwamba ni Mbowe wa cdm. Sasa je, kisheria itakuwa ni sawa Mh. Freeman Mbowe kuitikia wito au mpaka ifanyike clarification ya typing error!?
 
Pole sana mkuu...madawa ni hatari sana aisee!!
 
nauliza hao aliowataja wapo chini ya ulinzi wa polisi au wako mtaani wanakula bata....?
 
Mbona wa kijani haujawataja,
Rais alisema hata awe mtoto wa nani,sasa mbona haumtaji huyo mtoto wa nani?
 
Mkuu huyu jamaa anafanya mzaha anafikiria hii ni kazi yakutafutia umaarufu subiri kitakachofuata kabla 2020 ndio utaniambia nini maana ya mtandao........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…