Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Hivi mbunge wa Ilala anaitwa nani? na yule alokuwa wa Kino anaitwa nani?....nani ni Zungu kati yao...haya majina na la huyo alowekwa hapo juu ni kama yanafanana....wasije mharibia mtu asiyehusika
Kino Idd Azzan
 





Dah huu ukuu wa koo na ulevi - tusubiri ngano za chifu
 
Is it Philemoni or freeman mbowe? mbowe sijawahi msikia na issue kama hizi, hata majina mengi yametolewa humu ndani miaka mingi lakini sikuwahi sikia, au ameletwa kubalance mambo?
 
Nataka kijua Huyo Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema,maana tusijekuwa tunadhani ndio yeye kumbe ni mwingine
 
Hawa walio tajwa wanatakiwa wamfikishe jamaa mahakamani wadai kulipwa fidia ya kuchafuliwa majina. Huyu mpayukaji anatakiwa kufundishwa adabu sasa
Fidia Bongo...mahakama umesikia ndio chaka la wahalifu...
 
Inaelekea huko Police Central Wema Sepetu anamwaga ubuyu mtamu wa Vinto. Ndio maana apandishwi mapema mahakamani
 
Bahati mbaya

Siasa imeingizwa tangu awali upuuzi wa hiyo orodha upo kwenye neno WATUHUMIWA

Ijumaa wataitika na jion watarudi mitaani

Lema = mchochezi ......ndani

Lisu = mchochezi........ndani

Mbowe = dawa za kulevya.......ijumaa

CUF = Wamepewa Lipumba kuiuwa

Zito = mchochezi anawindwa

Hii inaongeza kutambulika zaid kwa hawa watu.......badala ya kuangamiza upinzani.....ndani ya mioyo ya watanzania chuki kubwa dhidi ya ccm inajijenga
 
Mbona sijamwona huyo Freeman Mbowe? Anayeonekana hapo ni Philemoni Mbowe. Au Freeman Mbowe anaitwa pia Philemoni?
 
Philemon mbowe ni sawa na freeman mbowe?

Hilo ndio swali langu pia. Aliyeorodheshwa kwenye orodha iliyowekwa hapa ni Philemoni Mbowe. Clearly, huyo hawezi kuwa Freeman Aikaeli Mbowe. Sijamsikiliza Makonda wakati anataja haya majina. But it will be interesting to know kama alitaja Freeman Mbowe wakati orodha inasema Philemoni Mbowe. Kama wamekosea makusudi, basi watakuwa na lengo la kui-confuse jamii. Je, kuna mtu anafikiri jina la Freeman Mbowe linaweza kukosewa? Kwamba mtu aandike Philemoni Mbowe badala ya Freeman Mbowe? Maybe. Kukosea makusudi ni siasa.
 
Kukaa kimya sio kwamba hawatendi......hawa wanaweza kuwa bora 100 times makonda

Kelele na vita ya dawa za kulevya wapi na wapi? = maji na mafuta ya taa

kelele nikuwaepusha wahusika wajifiche na kuficha ushahidi
Tulishaligundua hili zamaaaaaaani hizi kelele hizi vibuyu vyote vinapasuliwa
 
Hahaha kumbe kweli chadema sisi huwa Manyumbu yaani wa Afrika bwana hawajashtuka bado kinachoendelea. In short Mwisho WA ubaya umeanza kuonekana.. Wengi hamjui kama uchaguzi wa mwaka JUZI ulikuwa ni baina ya makundi mawili wasafi na wachafu kama Unakumbuka team mbili za ccm kubwa kwenye Mchakato zilifeli zote. Rais akawa magufuli. Kisha wabaya wakaungana wakawatumia Manyumbu.. Eeh MUNGU asante kutuonyesha Kiongozi mzuri.. Wengi mna akili ya kijinga ETI mmeishia kumkosoa makonda.. Mnashindwa Kujua kwamba hii vita ni ya magufuli mwenyewe Ila anatumia tu makonda.. Heshima Sasa inarudi.. Hahahahahahahahahahahahahahah Leo Nina furaha Sana.. Subirini phase namba tatu atatawajwa tu na huyo drug dealer mkubwa kabisa.... Bye bye chadema ya wachafu.. Mkae wanachama tujitafakari tuchague viongozi wenye Nia kweli sio Hawa wafanya biashara wenye kumiliki sehemu za starehe.. Wake up. Mnashindwaje kujua kwamba kelele zote Sasa kishindo chake hatari
 

Mtafukua sana mwaka huu ila mwisho wa siku mtonyooka tu ..... tukutane central ijumaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…