Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Weka akiba ya maneno mkuu........ unaheshimika sana humu usijekosa pa kutokea
 
Kwanini anatetewa Mbowe tu kwenye huu uzi? mbona Manji na akina Zungu hawana watetezi?
Halafu tukumbuke wale wabunge machchari wa CDM walikuwa wakiuliza mbona mapapa hawakamatwi?nikajiuliza usikute wanawafahamu mapapa.
 

Philemoni Mbowe. Unamjua?
 
Mbona wa kijani haujawataja,
Rais alisema hata awe mtoto wa nani,sasa mbona haumtaji huyo mtoto wa nani?
wakijani ni akina nani, Makonda Paulo kesha maliza kazi au kuna wengine unawajua usaidie Jamuhuri
 
Nataka kijua Huyo Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema,maana tusijekuwa tunadhani ndio yeye kumbe ni mwingine

Ila ni kweli ... lakini lile jina la mwanzo mbona km lake kabisa! au ndo yale ya tunda man na tunda model!!!
 
Nahisi makonda amefikia cheo hiki kwa sasa, next to president! Aombe Mungu ampe maisha marefu ili baadae afanye reflection ya anayoyafanya kwa sasa!
 
Mbowe hayupo. Yupo mtu anaitwa Philemoni Mbowe. Au mtu akishakuwa na ubini wa Mbowe basi ni Freeman Aikaeli Mbowe?
Mzee ulitoka CCM kufuata mtu, ukawa shabiki wa mtu...ukasahau na kutupa principles...sasa unaona Mwenyekiti Mbowe yumo kwenye orodha ya Makonda...ulipotezwa mzee...rudi tu nyumbani maana hata Mzee pumzi imemuishia kabisa hasikiki tena!
 
Troll JF

Video link uliyoiweka post namba moja haioneshi, turudishie pesa zetu!
HAPA KUNA TATIZO KWANI MHUSIKA NI MBOWE AS ELKAELI AU MMILIKI WA ILIYO KUA CLUB YA BILLICANAS? My take kwa vyovyote vile ukiwa na nightclub kama ilivyo kua billicanas madawa ya kulevya hayakosekani. Je Mbowe alikua ana husika directly or as a club?
 
mwisho wa ubaya n ubaya pia, kjana kaamua kuwa chambo ya chama
 

Hapa ni kazi tu! Madawa yafuatiliwe kwa nguvu zote bila kupoteza focus, na tuhuma za mkuu zifuatiliwe kwa nguvu zile zile ikibidi nayeye akae pembeni kama Fuime. Akiwa cleared arudi aendelee.
 
Mbona naona Philemon Mbowe na Siyo Freeman Mbowe sasa picha yake mnaiwekaje hapo wakati hso ni watu tofauti?
 

Wanasema eti kwenye chama chao wote wasafi hawana hzo mamboz πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…