Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Upumbavu uliofanyika chadema kumkaribisha mwizi eti analeta usitalabu.....

Usitalabu gani wewe umeshaiba mpaka umechoka........

Wanasiasa wa kweli kama Lissu wanaumia kutetea watanzania wenye fikra chanya "

Halafu unaleta upumbavu hapa eti siasa za kushika dola , dola utashika lini mwizi ....

Unayetegemea stahiki zako zisainiwe na Rais ndio ule Lowassa na sumaye ndio Wamefanya upinzani umesinyaa lazima tuwe wakweli Mbowe alikuwa mtu makini sana lakini baada ya Mapokezi ya wezi hana jipya tena na yeye .....

Ifike mahali watanzania tuache unafiki mtu kama Lowassa Sumaye lipumba nabowe hawawezi tena kupambana na dola.....

Ifika wakati Sasa Mbowe ,Lowassa ,Sumaye na &com they must go.......

Chama kiwe chini ya Lissu ndio hana cha kupoteza washirikiane na Zitto mbatia,Mzee,Lema na mnyika ......

Sio hawa wezi na matapeli kutoka Ccm.......
Weka akiba ya maneno mkuu........ unaheshimika sana humu usijekosa pa kutokea
 
Kwanini anatetewa Mbowe tu kwenye huu uzi? mbona Manji na akina Zungu hawana watetezi?
Halafu tukumbuke wale wabunge machchari wa CDM walikuwa wakiuliza mbona mapapa hawakamatwi?nikajiuliza usikute wanawafahamu mapapa.
 
MAKONDA anasoma majina ya kwanza vijana wakiwa wanamkejeli mitandaoni.
View attachment 468412


Chadema Fans: Ngoja waisome namba

Inner: Wema, T.I.D, Nyandu Toz na Peti man hao ni waathirika na Vidagaa tulijua tuu ameshachemka tunataka Mapapa
View attachment 468411

Makonda Anawataja akina Mbowe, Manji, Gwajima, Idi Azan
View attachment 468412


Chadema Fans: crying in Jamii forums and screaming this List is fabricated/manufactured/Constructed

View attachment 468422

Philemoni Mbowe. Unamjua?
 
Mbona wa kijani haujawataja,
Rais alisema hata awe mtoto wa nani,sasa mbona haumtaji huyo mtoto wa nani?
wakijani ni akina nani, Makonda Paulo kesha maliza kazi au kuna wengine unawajua usaidie Jamuhuri
 
Nataka kijua Huyo Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema,maana tusijekuwa tunadhani ndio yeye kumbe ni mwingine

Ila ni kweli ... lakini lile jina la mwanzo mbona km lake kabisa! au ndo yale ya tunda man na tunda model!!!
 
Nahisi makonda amefikia cheo hiki kwa sasa, next to president! Aombe Mungu ampe maisha marefu ili baadae afanye reflection ya anayoyafanya kwa sasa!
 
Mbowe hayupo. Yupo mtu anaitwa Philemoni Mbowe. Au mtu akishakuwa na ubini wa Mbowe basi ni Freeman Aikaeli Mbowe?
Mzee ulitoka CCM kufuata mtu, ukawa shabiki wa mtu...ukasahau na kutupa principles...sasa unaona Mwenyekiti Mbowe yumo kwenye orodha ya Makonda...ulipotezwa mzee...rudi tu nyumbani maana hata Mzee pumzi imemuishia kabisa hasikiki tena!
 
Troll JF

Video link uliyoiweka post namba moja haioneshi, turudishie pesa zetu!
HAPA KUNA TATIZO KWANI MHUSIKA NI MBOWE AS ELKAELI AU MMILIKI WA ILIYO KUA CLUB YA BILLICANAS? My take kwa vyovyote vile ukiwa na nightclub kama ilivyo kua billicanas madawa ya kulevya hayakosekani. Je Mbowe alikua ana husika directly or as a club?
 
mwisho wa ubaya n ubaya pia, kjana kaamua kuwa chambo ya chama
 
Nilipokuwa nasikia hawa mapapa wa madawa ya kulevya wananguvu sana nilijihoji maswali wananguvu gani na wanazitumiaje, kumbe wanatumia watu kama hawa watoa post kudhohofisha mtu yoyote anayepambaba nao? Yaani wanatumia mbinu ya kumbambika tuhuma kama zao.

Najihoji mwananchi mzalendo unayeona madhara ya madawa haya unawezaje kupinga harakati izi za Makonda mtu ajafanya kazi aliyokusidia lakini tayari umeishamuhuku kuwa ameferi kama wewe si muuzaji au mnufaikaji ni nini kinakukereketa hadi unashindwa kuwa na subira ya kuona Makonda anafikia wapi.

Unataka mapapa mapapa unawajua wewe? Kama unawajua mbona kwenye post yako haujataja hata mmoja why uwezi kuwataja pamoja na kuwa unatumia ID feki.

Tupunguze miemko, nchi ni yetu sote hawa viongozi tumewakathimisha madaraka kwa muda tu.

Hapa ni kazi tu! Madawa yafuatiliwe kwa nguvu zote bila kupoteza focus, na tuhuma za mkuu zifuatiliwe kwa nguvu zile zile ikibidi nayeye akae pembeni kama Fuime. Akiwa cleared arudi aendelee.
 
Mbona naona Philemon Mbowe na Siyo Freeman Mbowe sasa picha yake mnaiwekaje hapo wakati hso ni watu tofauti?
 
Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.

Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.

Wanasema eti kwenye chama chao wote wasafi hawana hzo mamboz 😀😀😀
 
Back
Top Bottom