Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Gwajima na Azan wana uhusiano gani hawa watu?
 
Aendeleee tu hao wanaosema ana utajiri mbona wao mali zao hawajatuambia ili tujue wako sawa na sisi,Kama na wao wanatuzidi sisi wajieleze.
 
Wewe mtoto wa dawa ni punguani kabisa mbwa wewe.
Na kama ccm hii inadhani inaweza ikauwa mawazo ya upunzani nchi hii kwa sinema za kifala kiasi hiki basi hiki chama sasa kinapaswa kuwa cha mafala tu kaka wewe
Mwana CBE kumbe wewe ni kielelezo tosha cha vijana na wafuasi wa BILICANAS club walivo wachovu wa kufikiri, Makonda kamtaja mtu mmoja tu waupinzani leo mnakuja kusema anatka kuua upinzani hahahahahah duh Mungu wa nchi hii tunampa kazi kwelikweli inabidi aanze upya kupitia baadh ya bongo zao
 
Ila kwa mbowe siamini kabisa
Hivi mnapoambiwa hii vita ngumu huwa hamuelewi?...


Trust no one.... kanuni ya kijasusi na maisha tangu kale

Kuna wengi tunaowaamini wana pande nyingine za giza tusizozijua....

Si ufisadi, ushirikina, mauaji ya Albino, uuzwaji na matumizi ya madawa na mengine mengi kama uzinzi na uzandiki, ni matendo ya wanadamu tunaowapenda na tuwachukiao, pia wewe au mimi tunaweza kuwa na moja yawenye hizo tabia....

Cha msingi haki itendeke, hujawahi ona ama kusikia mke ama mume anamuua mwenzi wake?

Hii ndo dunia hutoviamini vingi sana hadi mwisho wa uhai wetu mfupi uliojaa mashaka ya kila namna....

Tuliitaka vita, tumeipata hakuna kurudi nyuma
 
Freeman Aikaeli Mbowe ndo huyu huyu Philemoni Mbowe..??
Hizi sasa naona ni muendelezo wa character assasinations...!
 
MIMI NAMSIFU MAKONDA WALAU AMETAJA SIO WABUNGE NA WATU FULANI KAZI KUSEMA WAPO MAPAPA HUKU HAWAWATAJI.
 
Me sikumsikiliza radio wala TV ila list imeandikwa tena kwa mkono Philemon Mbowe lakini picture ni Freeman Mbowe sasa hapo ndio penye utata.
 
me nawasiwasi na haya unayoyasema, kama unaushahid weka hadharani tuujue maana naona na wewe kama watafuta kiki tu hapa. Kwani wewe kwa wote waliotajwa nani kaonewa au yupi aliyelalamika kama kazingiziwa. Embu jitahid kuwa positivy kwenye hili bwana hata kama kuna namna yeyote. Madawa sio kweli aseeeeeee........
 
Mwenyekiti wa cdm si ni Freeman Aikael Mbowe, ndio maana kwenye radio alisikika kuongeza maelezo ili kuonyesha kwamba ni Mbowe wa cdm. Sasa je, kisheria itakuwa ni sawa Mh. Freeman Mbowe kuitikia wito au mpaka ifanyike clarification ya typing error!?
Amesema Mbunge wa Hai
 
mbowe ahukumiwe kwa makosa yake jamani si kwa kabila lake huko kuenda mbali na si haki! Mbowe si nembo wala mwakilishi wa wachaga wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…