Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 247
Lazima umpate mtumiaji ili akupeleke anapopatia hiyo huduma.Hii sio vita ya madawa ni vita ya siasa!! Unless hatujui vita ya madawa ikoje!! Huwezi mshika mlevi au mtumiaji ukasema unapambana na madawa!!!
BTW yale majina ya jk mbona hayatajwi???
Pia kuna hatari ya kumvunja striker akiwa mazoeziKuna lugha ya kisanii imetumika wachache tumeielewa: Kuna wengine wanatumia, Kuna wengine wana taarifa by Makonda. Hapa Kuna hatari ya kushangilia chenga za mazoezini!.
Tofauti ni kubwa sana. Philemon anajulikana kwa tetesi ni muuz madawa. Na sio freeman mbungeHata Palm Beach imeandikwa "Parm".
Si unajuwa shule zetu tena.
Mkuu ameniacha hoi kutaja majina watu wengine huku wengine akitaja kampuni wanazomiliki huu ni upuuzi mwingine,anataka kuniambia wamilik wa Yatch club,Palm beach,sea cliff hawana majina?This is rediculousHii vita inahitaji approach mpya ,matatizo ya madawa ya kulevya yapo kabla Makonda hajawa RC lakini hizo agency hazijawahi kufanya lolote na polisi wanaifahamu hii biashara vizuri na ni washiriki wakubwa kwenye hii biashara ndio maana umeona ile list waliokamatwa kuna polisi wengi.Hii vita inakuwa one man show sababu wafanyabiashara na vigogo wa idara za serikali ni wadau wa hii biashara.Hata Duterte anafanya one man show na amepata upinzani mkubwa sana lakini ameendelea kuwaua na wengi wamekimbia na hata wale waliokuwa wanataka kuingia kwenye biashara wanajua mambo yamebadilika. Vile vile madawa ya kulevya yanaingilia na kutokea DSM na pia ndio kuna watumiaji wakubwa
Makonda anapata upinzani kwa mambo mengine aliyofanya huko nyuma lakini kwa hili yuko sawa,kelele zake zinasababisha matatizo mengi yanazidi kujulikana
Kwahiyo mkuu Lowasa nae papa au!!Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.
Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Ukiamini Freeman Mbowe anauza madawa basi hata ukiambiwa your mother is a prostitute Mara moja utakubali na kutangaza kuwa huo ni ukweli
Nyie ndo mmeingia kingi sio hao bavicha. Mlishabikia jina mboww kumbe sie huyo mnaemjuaBavicha leo hawaamini kilichotokea, walikuwa wanamshinikiza Makonda aachane na vidagaa ataje mapapa, kilichowakuta hawana hamu
Si kwa Masog..*e mtani mtataEe kitu kipo kwa wema
Muilizeni kama ameandaa fidia kuwalipa iwapo hawatopatikana na ushahidi, hii kesi tamu sana asidhanie kuwataja kina mbowe au manji watamvumilia kuwaharibia jina
sasa mbona kama umeshahukumu kuwa hawana hatia, wameitwa kwa mahojiano na ikiwezekana kuchangia kupata taarifa zaidi dhidi ya hao wauza/wasambazaji wa unga! kwani we hutaki wachangie katika mapambano?Hawa walio tajwa wanatakiwa wamfikishe jamaa mahakamani wadai kulipwa fidia ya kuchafuliwa majina. Huyu mpayukaji anatakiwa kufundishwa adabu sasa
Huyo ni Philemon Mbowe mfanyabiashara wa madawa ya kulevya.Nataka kijua Huyo Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema,maana tusijekuwa tunadhani ndio yeye kumbe ni mwingine
Wanakua chini ya uangalizi. Wakigusa tu mzigo wanadakwa red handed. Kutajwa hadharani imewakata ngebe. Sasa wanafatiliwa hadi simu zao so any stupid move wanaingia kingiHalafu unawapa taarifa Kwenye tv hata Mimi nitasafusha mzigo du jamani hii movie tamu
Cc mrangimbona azan tangu nazaliwa mpaka nazeeka anauza unga huyo huamini kuwa ni mashuhuri?
Kwa nini asiwe TBC wanaondeshwa kwa kodi zetu?Nani anagharamia matangazo hayo pale mawingu?Jee ni walipa kodi wa jiji la Dar?au ni yeye mwenyewe ?ama anafadhiliwa kama alivohoji Musukuma kule bungeni??!
Vita ya madawa ya kulevya iendeshwe hadharani hivi!! This must be a joke. Hii siasa tu. Huku ni kuchafuana mwisho wa siku mnaambiwa hmna hatia wakati mmeshautangazia ulimwengu mzima. Kwa mtindo huu wadanganyika wenye upeo finyu wanahadaiwa ili waanze kushangilia na kusifu. Hahahaaa hii ni kama mahakama ya mafisadi isiyo na washtakiwa. Wamepotea ghafla hakuna wa kumshitaki. It was plitics from the beginning
Umeanza kutafuta pa kutokea. Ndo maana huko kwenu kuna Lameck Madelu na mnamkubali hadi kumpa majukumu makuu taifaniTanzania hakuna kitu jina halisi, ukianza kutafuta Majina halisi utakesha hautampata mtu, utakuta mtu nyumbani anaitwa Moshi, Shuleni anaitwa John, kazini Mushi, basi mkanganyiko tu,
ila Mbowe ni Mbowe-chadema!