Truth will Remain
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 254
- 126
Bilz sio ya philemonJinsi pale Bilicanas palivyokuwa, ikiwa anaweza kuuza pombe na kufungua sehemu ya kuuzia na kuharibu jamii, mpaka underage walikuwa wanauzwa pale, unga utamshinda nini kuuza?
Tena huyo ndiyo suspect namba moja.
Ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya mkuu.Philemoni Mbowe. Unamjua?
mbona aliyetajwa ukisoma list ni philemon mbowe, au ana majina mengine, mie najua ni freeman aikael mbowe huyu philemon mbowe ni naniMwana CBE kumbe wewe ni kielelezo tosha cha vijana na wafuasi wa BILICANAS club walivo wachovu wa kufikiri, Makonda kamtaja mtu mmoja tu waupinzani leo mnakuja kusema anatka kuua upinzani hahahahahah duh Mungu wa nchi hii tunampa kazi kwelikweli inabidi aanze upya kupitia baadh ya bongo zao
Mkuu ameniacha hoi kutaja majina watu wengine huku wengine akitaja kampuni wanazomiliki huu ni upuuzi mwingine,anataka kuniambia wamilik wa Yatch club,Palm beach,sea cliff hawana majina?This is rediculous
Kwani mwigulu yupo nchini?Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya
Umeanza kutafuta pa kutokea. Ndo maana huko kwenu kuna Lameck Madelu na mnamkubali hadi kumpa majukumu makuu taifani
Si kwa Masog..*e mtani mtata
yule ni philemon mbowe, isome list vizuri na sio freeman aikael mbowe au anatumia jina lingine la philemon mboweNyie Lumumba kashikeni ukuta magogoni. Upinzani na Mbowe ni namba ingine labda muanze kumlamba makalio uchwara.
Ukitaka kujua serekali hii inaendeshwa kwa siasa za kitoto na chuki za kipuuzi hebu angalia hiyo list, imejaa nicknames kibao. Kwa watu walio serious tena na jambo ovu kama hilo wangejiridhisha na kupata majina halisi. Sasa hata kupata majina halisi ya watuhumiwa umeshindwa utawezaje kujua kama wanafanya hiyo biashara. Watu wenye uelewa tunawadharau na kuidharau serekali yetu kwa sababu ya huu utoto.
Labda wakati wa pulling system chaputa tu nasivinginevyoMdomo na mkono kuna wakati vinateleza wakati wa kufanya mawasiliano!
Lakini mkuu kuna shida. Kama wito wanapewa kwa maandishi labda. Ila kama kilichoongelewa kwenye TV ndo wito rasmi inabd aende ndio wamuombe msamaha au wafafanue jina lilikosewa ila ni yeye.Freeman Aikael Mbowe hawezi kuripoti polisi hiyo ijumaa kwa kuwa haitwi Philemon Mbowe.
matamshi na maandishi ni vitu tofauti, au wewe unaona Philemon ni sawa na Freeman? niombe isiwe ili nifaidi nini sasaUnaomba asiwe yeye. Ndio mwenyewe Mkuu