Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Kitendo cha kumtaja Mwenyekiti wa Chadema, Iddi Azan na Manji ni dalili tosha kuwa maombi yetu ya kuomba kuletewa mapapa wa madawa ya kulevya yamepuuzwa maana wameamua kutulete NYAGUMI.

JAMANI HATA MBOWE??????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jinsi pale Bilicanas palivyokuwa, ikiwa anaweza kuuza pombe na kufungua sehemu ya kuuzia na kuharibu jamii, mpaka underage walikuwa wanauzwa pale, unga utamshinda nini kuuza?

Tena huyo ndiyo suspect namba moja.
Bilz sio ya philemon
 
Freeman Aikael Mbowe hawezi kuripoti polisi hiyo ijumaa kwa kuwa haitwi Philemon Mbowe.
 
wadau hivi jina philemon = freeman :
BUT vita vya madawa ya kulevya ni lazima viungwe mkono na kila mtanzania mwanye akili timamu, bila kujali wadhifa au umaarufu
 
m
Mwana CBE kumbe wewe ni kielelezo tosha cha vijana na wafuasi wa BILICANAS club walivo wachovu wa kufikiri, Makonda kamtaja mtu mmoja tu waupinzani leo mnakuja kusema anatka kuua upinzani hahahahahah duh Mungu wa nchi hii tunampa kazi kwelikweli inabidi aanze upya kupitia baadh ya bongo zao
mbona aliyetajwa ukisoma list ni philemon mbowe, au ana majina mengine, mie najua ni freeman aikael mbowe huyu philemon mbowe ni nani
 
Mkuu ameniacha hoi kutaja majina watu wengine huku wengine akitaja kampuni wanazomiliki huu ni upuuzi mwingine,anataka kuniambia wamilik wa Yatch club,Palm beach,sea cliff hawana majina?This is rediculous

Nakwambia hii movie ni ya kulindana Sana wacha tuone mwisho
 
Nyie Lumumba kashikeni ukuta magogoni. Upinzani na Mbowe ni namba ingine labda muanze kumlamba makalio uchwara.
yule ni philemon mbowe, isome list vizuri na sio freeman aikael mbowe au anatumia jina lingine la philemon mbowe
 
Mmeahitaji mapapa yanatajwa bado mnasema wanaonewa sasa nani atakuwa tayari kuona mtu mkubwa anatajwa kama wakitajwa wanaonewa,
Juzi Mdee katoa povu juu ya wanaokamatwa kuwa sio waagizaji na wanasambzaji ok, leo wametajwa tena hakuna aliye sema kuwa wao ndo wanauza,kuaagiza au kusambaza alichosema Makonda ni kuwa waende pale kati wakatoe statement na kusaidia dola juu ya ishu hii.
Makonda mbona kasema ukweli kuwa kama umekamatwa kwenye hii ishu bila kuitwa basi ujue wanauhakika na walichokifanya akatoa mfano MAJIZO,

Sasa naona mapovu yanawatoka wenzetu wa kupinga kila kitu kuwa mwenyekiti wao kaonewa.
kwahiyo ullitaka nani awpo na nani asiwepo? et, naongea na wewe unaesoma hii
 
Ukitaka kujua serekali hii inaendeshwa kwa siasa za kitoto na chuki za kipuuzi hebu angalia hiyo list, imejaa nicknames kibao. Kwa watu walio serious tena na jambo ovu kama hilo wangejiridhisha na kupata majina halisi. Sasa hata kupata majina halisi ya watuhumiwa umeshindwa utawezaje kujua kama wanafanya hiyo biashara. Watu wenye uelewa tunawadharau na kuidharau serekali yetu kwa sababu ya huu utoto.

Mpaka leo hujui kwanini wauza sembe wanatumia nicknames - Jibu ni fupi na rahisi sana - BIASHARA HII NI HARAMU DUNIANI KOTE - WANAFICHA UHALISIA WAO..... Wakishadakwa watatoa hayo majina yao halali unayoyataka wewe
 
Dah! nilijua ni "FREEMAN MBOWE" kumbe ni "PHILEMON MBOWE" nilitaka kushangaa hii list
 
Freeman Aikael Mbowe hawezi kuripoti polisi hiyo ijumaa kwa kuwa haitwi Philemon Mbowe.
Lakini mkuu kuna shida. Kama wito wanapewa kwa maandishi labda. Ila kama kilichoongelewa kwenye TV ndo wito rasmi inabd aende ndio wamuombe msamaha au wafafanue jina lilikosewa ila ni yeye.

Kumbuka kwenye tv imetamkwa freeman kwa waliosikia. Na ikafafanuliwa ni mbunge wa Hai.

Huenda ni mtego asiendw ili akamatwe rasmi. Na akienda pia atawekwa rumande hadi j3 ndo iamuliwe kuwa majina yana utata au la.

Vyovyote vile hii ni shambulio la haiba
 
sure,go makonda go...wachache wanakukatisha tamaa hasa wanufaika na wenye chuki na uongozi huu ila wengi tunaunga mkono jitihada hizi
 
Back
Top Bottom