Bilz sio ya philemon
Mbowe uliedhani sie sasa unamangamanga kuonyesha hasira kumbe za mkizi
Siasa za Makonda ni za chuki.Wale waluosemwa na Sema kwamba wamehonga wakafutiwa mashtaka amewataja??Diamond amemtaja??Mmiliki wa zile shule zenye jina kama za wakatoliki je??Ifike mahali Tuache siasa chafu. Mnadhani Mbowe angekuwa anafanya hiyo Biashara mpaka leo angekuwepo??
Kuna siku hizi chuki zitatufikisha pabaya.Tutaishia kaka naomba nisamehe umeshaharibu sifa ya MTU.
Angewasikiliza wenye taaluma yao kuliko kuropoka.
Chadema imehusikaje mkuu?Mfano we mkaazi wa KINONDONI, mfuasi wa CHADEMA, shabiki wa YANGA, nguo zako unanunua kwa HUSSEIN pamba kali, matanuzi yako ni SEA CLIFF, YATCH CLUB, PALM BEACH na mafuta ya gari yako unaweka GBP petrol station na ibada yako unapiga kwa mchungaji GWAJIMA.
mmh! pole we
lakini aliweka sawa akasema mbunge wa HAI so jina inaweza kuwa typing errorm
mbona aliyetajwa ukisoma list ni philemon mbowe, au ana majina mengine, mie najua ni freeman aikael mbowe huyu philemon mbowe ni nani
Nani anaangalia TBC 1 its not popular enough kwa vita ya makondaHiyo nayo ni point ya kuzungumzia
Kuna clip nimeiona MAKONDER anasema MBUNGE WA HAI,anaish DARAliyetajwa kwenye hiyo orodha ni Philemoni Mbowe na wala sio Freeman Mbowe.
EXACTLYAnaongea nini sasa.
Na yeye akareport central akahojiwe. Tuhuma zake sio za kwenda kwenye media kujisemesha.
Hii tuhuma ya yeye kuwa na mahusiano ya kmapenz na dealer wa kmataifa wa madawa sio ndogo. Magufuli hapashwi kulifungia macho hili.
Na mali alizo nazo sasa zifanyiwe auditing. Huyu kwa mwaka mmoja inasemekana ameaccumulate mali kumzidi hata Raisi wake. Hata mawaziri hawamfikii. Sasa awataje wahisani wake wachunguzwe.
Na wale wauza shisha waliotaka kumuhonga awataje nao wahojiwe. Msitufanye sisi wajinga
Huyu atakuwa anashirikiana na gang flani la wauza unga ila kaja na project ya kuwaeliminate dealers wengne ili watakaobaki wawe monopoly ili wamake abnormal profit. Tusidanganyane hata siku moja mkuu wa mkoa ambaye ni kada wa CCM et kupambana na madawa ya kulevya. Huku ni kujitaftia mazingira ya kupewa rushwa tu na biashara mwisho wa siku itaendelea as usual.
Kuna mwaka USA ilipata tuhuma za kutumia madawa ya kulevya kama source of Government income. Ni kwamba USA ilikuwa vbya kwenye uchumi. Serkal ikaja na mbinu kali za kutyte wauza madawa. Bei ya madawa ikapanda. Wao walikuwa na special depertment kwenye kitengo cha CIA/ Polisi waliojulkana kama bad cops ambao walikuwa wanachukua percent kutoka kwa drag dealers. Hii percent ilienda serkalini. Katika hiyo miaka madawa yalisafirishwa mpaka na ndege za jeshi.Allegations of CIA drug trafficking - Wikipedia
Sasa isije ikawa na tz ikaelekea uko.
hhahaah, nahene Kijana wa MangilingiliLabda wakati wa pulling system chaputa tu nasivinginevyo
Maskhara hayo mkuu. Ikiwa hivyo wakubwa watamfunga speed gavanna.SHOGA JAMES DELICIOUS
AAPA KUTAJA LIST YAKE KESHO ALIOTEMBEA NAE BILA KUANGALIA SURA.. DUH UKIKOSWA KWA MAKONDA HUYU ANAWALIPUA AMTOKI MWAKAAHUU LAZIMA TUNYOOKEE
Orodha umeisoma? Ushahidi mzuri ni wa maandishi. Wa matamshi unahitaji vigezo vingi sana kuupa sifa na maranyingi inategemea MIHEMKO ya mtamkaji. Video ni matamshi.Sikiliza kuanzia dakika ya 31 halafu utueleze Mbunge wa Hai, Aikaeli Mbowe ni aliyekuwa miliki wa Bilicanas au siyo?
Si lazima Rais au PM hata wewe unaweza kufanya ni swala la uifanye kwa namna gani kulingana na nafasi yakoMakonda hatumpingi ila tunamchana ukweli wa mambo ulivyo ,vita vya madawa ya kulevya hazikuwa za mkuu wa mkoa naomba nikukumbushe KITWANGA alivyotuambia kabla hajamwaga unga "hatuwezi kuwakata kuwataja ila tumeandaa mkakati wa kuzia madawa yasiingie nchini '
Pili kazi hii ilipaswa kufanywa na RAIS ,MAKAM NA WAZIRI MKUU kwa sababu majina ya mapapa wanayo ikulu yaliachwa na JMK
Mitaan chuku dhidi ya polis inatsha saana mkuu..Jana usiku nikitokea lindi. Nilikuwa Na drive nikafika mbagala mida ya saa nne hivi Usiku, nilikuwa nimechoka nikaona kabla ya kusonga mbele nipumzike kidogo nipatie japo supu ya kongoro maana nikisema niendelee mpaka Mbezi nitakuta kila sehemu imeshafungwa na nitalala njaa,
Wakati nasubiri Supu ikawa ni saa tano hivi, jamaa walinichelewesha. Nikaagiza Coca ya pili, kabla sijaanza hata kunywa nikaona watu wanaanza kukimbia, kucheki naona Askari Kama nane hivi na Machine gun na mabomu, Mimi sikukimbia niliona kuna Kama watu 8 hivi nao walikuwa wamekomaa,
Pembeni yangu walikaa wazee fulani hivi wa makamo Kati ya 60-70 miaka kwa kuwatizama. Mara nikamuona Askari mmoja Kati ya wale nane, ni dogo tu. Kati ya 19-24 miaka hivi, akawafata wale wazee, nikasikia kaeni chini kaeni chini, mzee mmojawapo akataka kuhoji. Mara Afande akampa Rungu la begani mzee chini. Duh iliniuma sana, Mimi kuona hivyo nikanyanyuka nikaambaa zangu mpaka ktk gari nikaondoka zangu,
Kichwani najiuliza maswali Mia pamoja na hasira, infact hata njaa ilinipotea. Hivi Haya ndiyo maisha yetu Siku hizi, hatuheshimu tena hata wazee wetu wengine ni babu zetu.
Swali langu kwa Mh Makonda, hivi tangu umeweka hii amri ya kufungua bara saa kumi na kufunga saa tano usiku, ni faida gani umeshapata mpaka sasa hivi?. Hizi halmashauri zimeongeza kipato kwa kiwango gani?
Tahadhari, Mh. Makonda, ungekuwa unajua jinsi watu wanavyonyanyaswa na kudhalilishwa na polisi huku mitaani tangu uweke hiyo amri Nina Imani ungesitisha kwanza na ufanye tathmini ili uipange upya, Huku mitaani chuki ni kubwa sana kwako wakati wewe binafsi hunufaiki na chochote juu ya hii Amri,
Askari polisi wadogo wanapiga na kudhalilishaa watu wazima, na ole wake mtu akose elfu 50 au 30 ya kumpa polisi ili aachiwe, basi atapigwa Kama mwizi, Mh Makonda, Japokuwa siyo ww unayewapiga hawa raia wema wasio na hatia, tena walipa kodi wazuri, lakini Kaa Ukijua, Mitaani watu wana Chuki kubwa mno mno na wewe. Tafakari haraka na uchukue hatua, hii siyo Dafur, hii ni Tanzania yenye amani tele, tena ipo kabla hata Hujazaliwa na Mimi pia. Tutakufawa wote lakini Tanzania bado itabaki, Tumia busara na Hekima kuwaongoza Watu, ili Upate kibali machoni pa Mungu, kudhalilisha wazee ni Laana, hakika Hutabaki Salama!
King marker wa madawa yakulevya.Philemon Mbowe ndio nani???
Mnasikitisha sana vijana, jiulize japo kwa nini waziri mwenye dhamana kaamua kukaa kimya na kumuachia huyo madereva akibwabwaja hovyoHamna kumuharibia jina mtu. Mambo yashafanyiwa uchunguzi bwana.
Makonda anapaswa aungwe mkono kwa nguvu zote.
ijumaa itatupa majibuHAPA KUNA TATIZO KWANI MHUSIKA NI MBOWE AS ELKAELI AU MMILIKI WA ILIYO KUA CLUB YA BILLICANAS? My take kwa vyovyote vile ukiwa na nightclub kama ilivyo kua billicanas madawa ya kulevya hayakosekani. Je Mbowe alikua ana husika directly or as a club?