mgoloko
JF-Expert Member
- Jun 25, 2016
- 4,806
- 3,996
Mmmm sijui muda si mrefu jibu litapatikana maana hii kubwaYaani ni sawa na kusema Yanga ni madrug dealer kwasababu tu manji ni mwenyekit wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmm sijui muda si mrefu jibu litapatikana maana hii kubwaYaani ni sawa na kusema Yanga ni madrug dealer kwasababu tu manji ni mwenyekit wao
kusoma so ishu ila picha tunaona hahahahaHuko Lumumba hata kusoma hamjui?
Orodha umeisoma? Ushahidi mzuri ni wa maandishi. Wa matamshi unahitaji vigezo vingi sana kuupa sifa na maranyingi inategemea MIHEMKO ya mtamkaji. Video ni matamshi.
Yatch club,Sea cliff na palm beach hawana majina?tunataka atuambie majina ya wamilik hao full stopMpaka leo hujui kwanini wauza sembe wanatumia nicknames - Jibu ni fupi na rahisi sana - BIASHARA HII NI HARAMU DUNIANI KOTE - WANAFICHA UHALISIA WAO..... Wakishadakwa watatoa hayo majina yao halali unayoyataka wewe
Wewe si Umtaje Kama una ushahidi? Makonda kawataja wale waliopata Ushahidi
Watu wachache sana wanauwezo wa kunyanyua mdomo kuzungumzia unga ni mtandao hatari kuliko Google kidogo kuhusu Pablo utapata pichaNani kamlipia airtime Clouds TV?Kwa nini vita hii wanamwachia Makonda mwenyewe?
“Ukweli una tabia moja nzuri juu yake; kwa wakubwa na wadogo, kwa marafiki na maadui, “UKWELI“ ni ule ule kwa wote. Na tabia moja ya ukweli ni kwamba, ukiubeza, siku zote utaujutia. UKWELI haupendi kubezwa wala kupuuzwa“. ~Tujisahihishe; Mwl J. K. NyerereDeliberately constructed...!
Kumekucha!!Ni siku nyingine tena,Mkuu wa Mkoa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa wa Dsm,ndugu Paul Makonda ataongea leo na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa vita ya madawa ya kulevya ktk jiji la Dsm.
Mkuu wa Mkoa atakuwa mubashara Azam Tv mara ifikapo saa 05:00 asubuhi leo hii.
Tetesi ni kuwa,mkutano huo unaweza kuwa ni kujibu tuhuma za kuwa anawakabili "dagaa" na wakati "mapapa" wa biashara hiyo wapo.Na majibu ya mkuu wa mkoa yatakuwa ni kuwataja hao mapapa na kuelezea hatua zitakazochukuliwa...
Tega usikie....(Stay Tuned)
=======
UPDATE:
=======
ORODHA KAMILI:
View attachment 468414
View attachment 468415
View attachment 468416
View attachment 468420
Ameanza kwa Kumshukuru Rais wa Jamuhuri.
Paul Makonda asema anataka wauzaji wa dawa za kulevya wajulikane hadharani na hakuna sababu ya kuficha.
Paul Makonda asema vita vya dawa za kulevya vilianza muda mrefu kwa kufutilia hali ilivyo mitaani.
'Kuna watu nilitaka nikutane nao polisi, kuna tofauti kati ya kukamatwa na kuitwa, unapoitwa unapewa nafasi ya kusikilizwa'-RC Makonda
'Kampeni hii dawa ya dawa za kulevya si ya kufanyika kimyakimya tunataka hata watoto wadogo wajue dawa hizi ni hatari kwa afya'-RC Makonda
'Asante kwa watu kama TID, nawapongeza kwa kukiri na kusema kuwa wanatambua namna walivyoingia na kuomba serikali kuwasaidia'-RC Makonda
'Tumemaliza awamu ya kwanza vita ya dawa za kulevya, sasa hii ni awamu ya pili ambayo itakuwa si nyepesi itakuwa na mawimbi mengi-Makonda
'Awamu ya 2 ya vita ya dawa za kulevya tunaianza leo na tunaianza tukiwa tumekamilika, nimekuwa kwenye operesheni usiku na mchana- Makonda
'Watu wanafanya biashara za dawa za kulevya na meli zinazokuja na mafuta'-RC Makonda
'Kuna mama kazi yake ni kusafirisha watoto wa kike ambao wanapewa dawa za kulevya, wawili wako jela China na amewatelekeza'-RC Makonda
'Tukiendelea kuvutanavutana tutapoteza lengo la kupambana na dawa za kulevya'-RC Makonda
'Tukishindwa vita hii ya dawa za kulevya, hajashindwa Makonda au Rais Magufuli tumeshindwa wote'-Rais Makonda
'Tuko na majina 65, nitahitaji kukutana nao ijumaa, wako wanaosemekana wanatumia, wako wanasemekana wanazo taarifa zitakazotusaidia-Makonda
'Nawashukuru wenyeviti wa mitaa wameanza kuleta majina ya watu ambao wanawasiwasi nao kuhusu dawa za kulevya'-RC Malone's
'Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikiri kazi yetu ni kuwasikiliza'- RC Makonda
'Zile nyumba mnazozitilia shaka, hamuelewi hata kinachoendelea ni wajibu wetu wananchi kutoa taarifa na taarifa zitakuwa ni siri-RC Makonda
'Kuna ambao tuliwaita wako nje ya DSM, wapo waliotoa taarifa na watafika ila wapo waliokimbia tunawafuatilia na tutawapata wote'- RC Makonda
'Nawashukuru ndugu zangu walioko nchi mbalimbali kwa kunipigia simu na kunipa taarifa mbalimbali'-RC Makonda
Hana ubavu ingawa ushahidi wa wazi upo ni wauza ngadaKuna mmoja nadhani alionekana akimfunga kamba za viatu.
Je, vinabadili alichokitamka leo?Vitu alivyoongea msukuma vingekuwa vya uongo Makonda angekana balaa lakin ni vya ukweli kapiga kimyaa

MNAKURUPUKA TU..KWANI MBOWE HILO JINA KALINUNUA..ALOTAJWA NI pHILEMON MBONE HEBU KANAWENI KIDOGO..duh..sijui mlitaka atajwe nani??
kama mbowe hausiki maana yake hana hatia..na ataachiwa..hawawez kumfunga n
bila ushahidi....
Hahaha!Hongera Mh. Makonda.
Lusekelo hayupo?
Azam ni mawingu au barafuKwanini asiende TBC ?? Tunakolipia kodi zetu .
Huko MAWINGU kuna nini si nimeskia nao wako kwenye ile list au atawasafisha kwenye tuhuma
Why mawingu ?
Linani hilo tena?Zari?Yaani Hili Malaya la kiganda watu tuko Kwenye kupigana na vita ya madawa limekaa Linafanya uchafu Kwenye ma mall na mjukuu wake likamatwe na Hili
Mwanzo nilimuunga mkono Mkono jamaa nikidhani hii vita ni for real, hata hivyo Hukumu ya Jana imethibitisha kuwa hao waliokamatwa ni insignificant, hawana impact yoyote katika biashara ya madawa!
Wema naona ameamua kumtunishia msuli wa kimamlaka!
Hii ni aibu!
Hapa tunachanganya mambo, pia tusichanganye siasa, kwenye list ya majina ni philemoni mbowe , hayo majina wananchi wametuma kama yalivyo na yanatakiwa yasomeke kama yalivyo, chadema au hai hawana mbunge anaeitwa philemoni mbowe, hata mkuu wa mkoa anajua jina la mbowe lilivyo ,sasa kama ametamka jina la philemoni mbowe na kulihusisha na mbunge wa chadema sio sahihi, hizi siasa sasa, na haikutakiwa picha yake iwekwe hapo , tumtendee haki hata kama tunatofautiana katika mambo mengi.
hivi bastola yake waliwahi kumrudishia...nawaza tuAchalewi kuumwa ghafla [emoji13] [emoji13] [emoji13]