Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Mwenye akili timamu,awezi akakaa na kuamin anachosema makonda,alivyoanza na wasanii mm,nilijua ni mtu makin,lakin kwa wasanii limeisha kwa hoja nyepesi,sasahv kahamia kwa wengine.cha ajabu wote amewaacha ila kamshikilia wema,kama sio chuki binafsi ni nn?.

Kwahyo makonda ana chuki na wema!!! watanzania bna 😀😀😀
 
Mpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?
Wanasubir kuitwa itv wakunje 4 kwny kpnd cha dakika 45
 
huu ushauri unaotoa nawe pia uufate, ni muda tu ndio mwalimu usipende sana kujudge vitu unavyoviona, hata wewe kifo chako huwezi kitabiri ila cha mwingine umeshakijua
binadamu msijipe majukumu ya Mungu
aisee am not your level
 
c51f8eb9d98705a5427c168a6fd4cf51.jpg



Sijui mbowe atakutwa anatumia Anasafirisha Anauza Ananunua
Anafadhili
Hatasijui Ila like seriously Nimechoka sanaa nahisi jasho.

Jamani sijui tumeikosea nini serikali ya ccm maana huu sasa nizaidi ya uuwaji wa vyama pinzani Tanzania kweli ccm akili kubwaaaz kwa hapa mme win 200%

Mme mfungia biashara zake haijatosha kumlimbikizia kodi haija tosha pia sasa kumuweka ktk
Orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya hapo Anasubiriwa lowassa sasa picha liwe the end

I know jf mtaifuta hii lakini narudia tenaa

Is not fear kabisaa huuu nimpango wa ukandamizwaji democracy nchini

Eemungu tuhurumie maana
Lumumba mmetushika Kunako
No kufurukuta 2020 so sad [emoji24][emoji24][emoji24]

Adding, shamba lake huko Kilimanjaro amepigwa stop, wakidai lipo ktk chanzo cha maji!
 
Dada angu, Madawa ya kulevya hayauzwi kwenye duka la Mangi..hakuna mtu atakupeleka kwa drug Lord kama hakuamini. Utaishia tu kukamata vidagaa vinavyo chukua kete mojamoja.

Ila mtu kama Ray C, Wema na wengineo obviously wanachukua kwa supplier wakubwa kidogo coz wana uhakika na privacy na confidentiality ya hao suppliers na Makonda amelijua hilo.

Ukianza kumkamta teja pale mwananyamala huo mlolongo wake kabla hujamfikia big suppliers utakuwa umeweka watu laki 5 pale Central.
King of Kings huwa hafikiwi
 
Chadema wameshatoa tamko huko, kama siyo yeye ni kwa nini wametoa tamko?

Eti wanasema ingetumika sheria kumuita mbowe!! kwenye madawa kuna kubembelezana!!? hawa chadema hakuna kitu kabisa, yan bado wanazidi kukumbatia ujinga wanashindwa ht kuonyesha ushirikiano!! mtu ameitwa akahojiwe then baada ya hpo ndio otagundulika ana hatia au hana hatia sasa wao wanapoanza kutetea sijui wanakuwa na maana gani!!!

Anyway ndo kashaitwa hvo asipofika tutamfuata .... go go makonda.
 
Mbona hatujadili hoja iliyomezani tunarushiana tu mapovu?
Eti oooh kataja vidagaa
Leo kataja hao bado mnaendeleza chuki binafsi na upinzani upepo unaofata mtu popote hata ktk maovu!!
Watanzania tubadilikeni kama kweli tunatska mabadiliko.
 
Mpaka sasa nashangaa kinachoendelea ama kuna tatizo. Kwenye structure ya serikali vitendo vyote vya kihalifu inaangukia Wizara ya Mambo ya Ndani. Lakini kwa muda wa wiki naona mkuu wa mkoa wa Dar ndio amekuwa mstari wa mbele kwenye vita vya madawa ya kulevya yuko wapi Waziri ama Naibu wa Wizara ya mambo ya ndani?
Upande wa Polisi namuona kamanda Sirro pekee, Jeshi la polisi lina Kamishina wa kitengo cha madawa ya kulevya yupo wapi?
Kwa ujumla ninatoa sifa kwa mawaziri wachache sana ktk serikali hii. Wengi waliojifanya ma-star serikali iliyopita, kwa sasa wako kwenye paralysis!
Pongezi kwa waziri Mbalawa, kidogo waziri Lukuvi (lakini naona pumzi imekwisha au alikuwa anaingiza tabia isiyo yake), naibu waziri Mpina kule mazingira, waziri ndalichako kwenye elimu (lakini nahisi anaposemwa anakosa ujasili wa kusimamia anayoyaamini),

Mambo ya ndani na ile ya sheria kuna tatizo!! Hakuna initiatives zozote pamoja na uozo unaojitokeza kwenye vyombo vya sheria.
 
Kwa mbowe hapo ni siasa zilizopangwa tu ili kudhoofisha upinzani,makonda anatumiwa
Maadam ni search ya wabaya, tusimtetee. Aende akaripoti, huenda ni mtu muhimu anayejua majina ya wale wa juu zaidi.
 
Kwahyo makonda ana chuki na wema!!! watanzania bna 😀😀😀
porpularity contest..i refuse to be fooled again..nataka nione matunda hizi kelele za kutajana tumeshazichoka..richmond..maremeta..buzwagi..escrow..walitajwa watu but nothing happened..i want to see people getting procecuted..all bark and no bite.
 
Back
Top Bottom