Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Ukimuona mtu amesimama anatetea juu ya KUKAMATWA kwa hawa WATUMIAJI au WAUZAJI ujue huyo mtu ANAFAIDA NAYO au HASIRAHI nayo BINAFSI.
Mkuu MAKONDA usiangalie sura wala jina wote kamata.
KUNA CLIP INASEMA ANAMLA FULANI NA NDIO SABABU HAJAMTAJA HILO VIPI? KUNA WABUNGE WAMEHOJI KUHUSU UTAJIRI WAKE WA GHAFLA MBONA HAJIBU ?KAMA SIO MDAUMSHIRIKI KUUZA HIYO SEMBE AJIBU !!
 
Note:Kila tunayemuita tunamfahamu kuliko mnavyofikili.Mwisho wa kunukuu. Sisi tunakuombea ukomeshe hii kitu mkuu.
 
KUNA CLIP INASEMA ANAMLA FULANI NA NDIO SABABU HAJAMTAJA HILO VIPI? KUNA WABUNGE WAMEHOJI KUHUSU UTAJIRI WAKE WA GHAFLA MBONA HAJIBU ?KAMA SIO MDAUMSHIRIKI KUUZA HIYO SEMBE AJIBU !!

we teja

unataka mtuhumiwa ajibu au apelekwe mahakamani?

akijibu akikana na bado kama ni kweli unafanyaje? ni lini watuhumiwa wanaishi kwa kutoa matamko?

hao wabunge wasiishe kusema kama mwenzao, encourage them to take one step ahead
 
club billicans wanafanya kazi hadi saa ngapi siku hizi ?
 
we nae kashasema hawataji mtu bila kufatilia, hivi umemsikia kweli au mihemko tu...
Kama "amewafuatilia na anawajua kuliko wanavyojijua" si anawapeleka mahakamani? Wewe una uhakika mtu huyu ni jambazi, kisha unamwita nyumbani kwako mjadiliane? tumia akili kidogo
 
Nchi ishakua ngumu sema bado mapambano yanaendelea.
 
Mmmhhh bado safari no kubwa na nzito kwasababu watu wanauza dawa hizi lazima watakua na uwezo kifedha na hata kwa kujilinda na vyombo vya dola pale inapobidi mfano pablo escabor king aka king of coke. Ila with determination inawezekana
 
Kusema kweli hili swala linagusa wengi. Kuna watu wanaharibiwa reputation zao for mere words and rumors. Lets assume kuna uchunguzi ulifanyika juu ya swala hili, vyombo vya dola vingechukua hatua bila kufumba macho. Sasa pale siasa inapoingia kwenye mambo nyeti kama haya inakua ni shida tupu.. I am against all drug dealers but I believe kuna siasa juu ya swala hili
 
Una wasiwasi wa nini? Anakwenda kuhojiwa tu.
Mi wala suna shida hata angekua ni yeye kweli. Ishu hapa watu walitamani awe yeye. Hadi mkuu wa mkoa kaingia kingi nae kawaingiza team Lumumba chaka wameshangilia kumbe wamejifunga la kisigino. Philemoni ana kadi na istoshe hadi bendera ya wana Escrow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…