Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...


Mmeanza kuweweseka ee! tulieni tutawafikia mmoja mmoja! kumbe na mzee nae yumo!!!? ooow tym will tel
 
Respect,watu tulivyokuwa tunasema hii vita ni ngumu tulitarajia lazima watajitokeza wengi kumpinga Makonda.Angalia jinsi Polisi,Mwigulu walivyokuwa kimya
Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.
 
Hakuna mahakama ya wapuuzi kama wewe hapa duniani.

Watuhumiwa wote wa Makonda wameshashinda hii kesi kabla hata haijafika kwa court.

Tunawataka GSM, ni kwa nini wameifunga Home shopping center?
 
Hakuna mahakama ya wapuuzi kama wewe hapa duniani.

Watuhumiwa wote wa Makonda wameshashinda hii kesi kabla hata haijafika kwa court.

Tunawataka GSM, ni kwa nini wameifunga Home shopping center?

Hv unapokuwa unatukana unadhan ni wewe pekee ndio unaejua matusi au!! HII THREAD KUNA MAHALA UMEONA WAMEANDIKA KUHUSU GSM NA SHOPPING CENTER!!?

Acha bangi na kuparamia watu usiwajua.
 
Makonda komaa nao wauza Madawa ya kulevya na wapambe wao...najua mkondo huo ni mrefu mpaka Bungeni umo,ndio maana wanatapatapa jinsi ya kukuzuia usiendelee na Kazi....huyo Waitala nae achunguzwe....pia nina mashaka na Wabunge wafanyabiashara kama Msukuma nayeye achunguzwe.... Ishu ya madawa ya kulevya si ishu ya kubezwa na wabunge tuliowachagua,hawa ndio wanakwamisha vita dhidi ya madawa ya kulevya....walisema MAKONDA anataja dagaa,sasa ametaja baadhi ya Mapapa na dalili inaonesha kweli...sasa wameguswa penyewe wanapiga kelele.....
 
Wakati wa press conference Makonda amesema, "wengine kwenye list ni wahusika kwa kuuza, kusafirisha, kutumia, na wengine watasaidia tu kutoa taarifa.
Sasa watu povu linawajaa mkijikita kwenye " kuuza tu" au "kusafirisha". .......
 
ndiio maana walisema hii vita ningumu, kwasababu bado watanzania hatuutaki ukweli kuna watu hatutaki waguswe kabisa, unaposema kuchafuana kisiasa hivi mwanasiasa pale yupo pekee yake?
Sioni haja ya kuendelea kupingana na haya yanayoendelea. Hivi kaka wewe ulitaka nani atajwe na nani asitajwe???

T U A C H E U N A F I K I TUWEKE PEMBENI KUJUANA NA SIASA HII VITA NI NGUMU
 
Unapoenda kwenye media unatakiwa uwe na uthibitisho wa kutoshaaa

Pia Sirro anadhalilisha taaluma yake...
 
Kusaidia kutoa taarifa ZITAKAZO SAIDIA KATIKA VITA HII, sio kuchafuana ,acheni MAKONDA AFANYE KAZI
 
wewe ndio rc mwenyewe!
id inaendana na shughuli ya makonda
 
Hivy
Kumhusisha MTU na chochote kile kuhusu madawa ya kulevya bila ushahidi ni kuchafuana katika jamii
Kwa hiyo ulitaka washikwe wapi wale wanaoshikwa nayo tu au. Ninyi mtarudi kuema hapa wauzaji hawashikwi kwani ni agf=halabu wao kuyabeba! Kweli unanikumbusha hadithi ya mwarabu na Punda! Wngine wanasaidia uchunguzi tu, povu la nini?!?!?! Ikidhihirika hawahusiki itatangazwa!
 
MQNJI=MANJI

Haraka ya wapi mkuu au unaogopa kutaja Manji ili usiunganishwe na kesi ya madai ya shilling moja tu. Maana kasema ole wake atakayeniandika
 
Sasa tangu lini mtu akamtaja informer?
Je huoni kutajwa kwake ni kuweka maisha yake mashakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…