Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Kwahiyo hizo ndege za ethiopia zitabeba makontena yanayoenda Ethiopia?
 
Yameandikwa wapi hayo uyasemayo?

Au una ota ndoto za mchana?
Umenyamazishwa sana siku hizi.

Kumbe unachangia mara moja moja ukipata ka kitu ka kuzungumzia?

Usipotee sana namna hiyo.
 
Swali la mantiki alilouliza Zanzibar-ASP halijajibiwa, Kauliza ni kipi kipya kwa meli za Ethiopia kutia nanga Bandari ya Dar? Ina maana zilikuwa haziruhusiwi ama zilikuwa hazina mizigo ya kuleta Tanzania?
Maswali ya mantiki wanayakwepa.
Wanaitikia mapambio ya tumpambe mfalme wetu kila anachosema na kufanya.
 
Kumbe ni kule kutapatapa bado kunawasumbua.
Mtawaita mpaka SOMALIA na hamtaona mtu.

Kachungeni ng'ombe biashara hamuziwezi
 
Bavicha hakuna jambo litafanywa naserikali hii wataliunga mkono.kuanzia UDA-RT,Bombardier n.k,lakini miradi ikikamilika ndio wa kwanza kutumia.
Ni vizuri waendelee tu hivyo hivyo wanatusaidia sana kusonga mbele kwa sababu aina ya kelele zao hazituzuii zinatusukuma
 
Ndipo tunasema, mezidisha mno katika kutafuta kiki maana namna mlivyowasilisha jambo hili ni kama something completely new. Je Ethiopia ndio nchi ya kwanza meli yake kuingia bandari ya bongo? Juzi kati tulikuwa tulilinasibu kuingiza meli kubwa kabisa katika historia hapo bandarini, je ulimuona Rais wa nchi ilikotoka hiyo meli kuja kusaini hayo makubaliano? Kuna mambo ni very normal katika uendeshaji wa serikali haina haja ya kujitaftia kiki. Nyinyi tuliwapigia kura, mmeshinda na hivyo jiaminini tu kwenye kupiga kazi no need ya cheap popularity.

Definitely, yes! Lazima pawepo na taratibu na makunaliano ya meli kuingia Bandari yetu lakini hii haina maana ya "restricted" bali utaratibu wa kawaida wa ku operate vyombo vya usafiri. Hata ukiwa na basi lako ukitaka liwe linachukua na kuleta abiria ubungo kuna taratibu, si suala la kuibuka tu na kuingiza basi kituoni lakini je, kukubaliana taratibu hizo is a big issue like that? Anyway, hingereni kwa kuingia makubaliano hayo ya aina yake.
 
Ethiopia wana shirika kubwa la meli halafu hawana bandari .?
Ɓakhresa anauza unga na mchele laƙini hana shamɓa unashangaa nini je kila mwenƴe ɗuka la nguo kariakoo ana kiwanɗa cha nguo mwehu wewe?
 

Pole hakuna Ethiopian airways Bali kuna ETHIOPIAN AIRLINE
 
..madai kwamba meli zitashusha mzigo Dsm halafu utapakiwa kwenye ndege kwenda Addis Ababa hayana mantiki.

Nafikiri hawa viongozi wakienda AU waanze kuongea namna ya kuliunganisha bara hili kwa railway line. Zama za kwenda kule kujifunza kuiba na kukaa muda mrefu madarakani zimepitwa na wakati.

Tuamke sasa kama bara la Africa. Panapowezekana kuunganisha nguvu kamwe tusidharau na kubeza. Ni kwa manufaa ya waafrika wenyewe...hakuna mjomba mjomba atakayetutoa hapa tulipo kama hatutii akili zetu kwenye kusukuma mambo ya maana...mfano zamani Zimbabwe ilitumia sana bandari yetu ingawa Mzambique ilikuwa karibu zaidi. Usalama ulikuwa changamoto...imagine Tazara ingeendelea mpaka upande wa pili.....
 

..hakuna anayepinga Tz kuunganisha nguvu na kuwa na mahusiano ya kiuchumi na nchi majirani na za Afrika kwa ujumla.

..particularly naunga mkono Ethiopian Airline kufungua HUB hapa Dsm.

..tena ningependa waweke hub (abiria na mizigo) nyingine kanda ya kaskazini ili kusaidia sekta ya utalii na sekta ya kilimo cha maua.

..zaidi naunga mkono mashirikiano ktk sekta ya nishati. Mpango wa kuwa na grid ya pamoja kuanzia Ethiopia, Kenya, Tz ni mzuri.

..nisichokubaliana nacho ni madai yaliyotolewa kuwa mizigo ya Ethiopia itakuwa ikiletwa bandarini Dsm na baadaye kupakiwa ktk ndege kwenda Addis Ababa.

..lingine nisilokubaliana nalo ni hoja ya kufundishwa na Waethiopia jinsi ya kuzalisha umeme wa maji. Naamini utaalamu huo waTz tunao. Tumekuwa na miradi ya Kidatu, Mtera, Pangani, ..miongo kadhaa kabla Ethiopia hawaanza mradi.

..lakini vilevile kwa mazingira yetu, umeme wa maji siyo wa uhakika. Tulishaamua kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme wa gesi.

..Idea ya kushirikiana na Ethiopia ni nzuri. Tatizo nimeliona ktk hoja za JPM ambaye alijikita zaidi kuomba-omba hata mambo ambayo yako ndani ya uwezo wetu.

..
 
Cjui miundombinu ya kutoka tz hadi Ethiopia imekaaje. Ukilinganisha na option nyingine kwa wa Ethiopia. Ila kwa haraka haraka, naona Ethiopia watakua na option nyingine ambayo(zo) ni cost effective zaid ya hii ya tz!!!
 
Au labda kama mizigo hii itakua inakuja kwa ajili ya kusafirishwa kwenda destination nyingine na sio Ethiopia. . .
Hapo inaleta maana[emoji106]
 
Najiuliza inakuwaje Slaa na Zitto kukaa kimya hapo zamani na hatimaye hivi sasa kuhusiana na tuhuma nzito dhidi ya mwenyekiti wao wa chama wa enzi hizo??

1.Je Slaa na Zito hawakujua kuwa mwenyekiti wao anakwepa kodi??au kuhujumu NHC ???...je hawakujua ya kuwa anahusuka na ngada(rejea list ya Makonda) ina maana gani kwa hawa watu wenye uwezo wa kupata nyeti za watu ikiwemo serikali waushindwe usanii wa Mbowee?
Kuna maelezo zaidi ya kumfichia siri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…