Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hizo ndege za ethiopia zitabeba makontena yanayoenda Ethiopia?Hazitii nanga ɓure zitakuja na mizigo iwe ya kongo,rwanɗa,uganɗa.zamɓia,malawi nƙ ɓei za hizi meli ni competitive zinabeba mizigo ppopote duniani waweza compete na shirika lolote la meli ɗuniani ƙupata tenɗa za kuleta mizigo ɗar yawe magari au chochote na kuɓeɓa mzigo ɗar kuupeleƙa popote ɗuniani kama ethiopian airways wanavyofanya.watalipa koɗi zote stahiki huwezi kupata ruti ya kwenda nchi ƴa mtu ɓila ya mhusika kuriɗhia
Umenyamazishwa sana siku hizi.Yameandikwa wapi hayo uyasemayo?
Au una ota ndoto za mchana?
Maswali ya mantiki wanayakwepa.Swali la mantiki alilouliza Zanzibar-ASP halijajibiwa, Kauliza ni kipi kipya kwa meli za Ethiopia kutia nanga Bandari ya Dar? Ina maana zilikuwa haziruhusiwi ama zilikuwa hazina mizigo ya kuleta Tanzania?
Kumbe ni kule kutapatapa bado kunawasumbua.Tanzania na Ethiopia ziliwahi tia sahihi makuɓaliano ya nɗege za ethiopian airways kutumia uwanja wa nɗege wa ɗar es salaam kwa kutua na kuruka.Makuɓaliano yaliƴosainiwa kati ya tanzania na ethiopia ni kuruhusu meli za ethiopia za shirika kuɓwa la meli za ethiopia kutua na kushusha mizigo na kupakia ɓanɗari ƴa ɗar kama ilivƴo ethiopian airways.shirika la meli la ethiopia ni shirika kuɓwa la ƙimataifa kama ilivƴo ethiopian airways.lilianzishwa 1964 na liko fit ujio wao utaongeza uwingi wa meli na mizigo kwenye banɗari ya dar es salaaam.moɗerator usiunge hii habari na zingine ili kuwapa taarifa sahihi wachangiaji
Ndipo tunasema, mezidisha mno katika kutafuta kiki maana namna mlivyowasilisha jambo hili ni kama something completely new. Je Ethiopia ndio nchi ya kwanza meli yake kuingia bandari ya bongo? Juzi kati tulikuwa tulilinasibu kuingiza meli kubwa kabisa katika historia hapo bandarini, je ulimuona Rais wa nchi ilikotoka hiyo meli kuja kusaini hayo makubaliano? Kuna mambo ni very normal katika uendeshaji wa serikali haina haja ya kujitaftia kiki. Nyinyi tuliwapigia kura, mmeshinda na hivyo jiaminini tu kwenye kupiga kazi no need ya cheap popularity.Wewe kama ni meli Huwezi ingia ɓanɗari ya mtu bila visa hiyo visa inaitwa mkataɓa wa ushiriƙikiano wa usafiri ambao lazima usainiwe na raisi ingeƙuwa ƙila meli ruksa kuingia za alkaeɗa na alshaɓaɓu zingeƙuwa zinaingia tu ɓila shida kwani hakuna restriction
Ɓakhresa anauza unga na mchele laƙini hana shamɓa unashangaa nini je kila mwenƴe ɗuka la nguo kariakoo ana kiwanɗa cha nguo mwehu wewe?Ethiopia wana shirika kubwa la meli halafu hawana bandari .?
Tanzania na Ethiopia ziliwahi tia sahihi makuɓaliano ya nɗege za ethiopian airways kutumia uwanja wa nɗege wa ɗar es salaam kwa kutua na kuruka.Makuɓaliano yaliƴosainiwa kati ya tanzania na ethiopia ni kuruhusu meli za ethiopia za shirika kuɓwa la meli za ethiopia kutua na kushusha mizigo na kupakia ɓanɗari ƴa ɗar kama ilivƴo ethiopian airways.shirika la meli la ethiopia ni shirika kuɓwa la ƙimataifa kama ilivƴo ethiopian airways.lilianzishwa 1964 na liko fit ujio wao utaongeza uwingi wa meli na mizigo kwenye banɗari ya dar es salaaam.moɗerator usiunge hii habari na zingine ili kuwapa taarifa sahihi wachangiaji
..madai kwamba meli zitashusha mzigo Dsm halafu utapakiwa kwenye ndege kwenda Addis Ababa hayana mantiki.
Ingekua madai yako ni kweli basi wasingesaini huo mkataba.Lazima kuna mantiki hapo...madai kwamba meli zitashusha mzigo Dsm halafu utapakiwa kwenye ndege kwenda Addis Ababa hayana mantiki.
Nafikiri hawa viongozi wakienda AU waanze kuongea namna ya kuliunganisha bara hili kwa railway line. Zama za kwenda kule kujifunza kuiba na kukaa muda mrefu madarakani zimepitwa na wakati.
Tuamke sasa kama bara la Africa. Panapowezekana kuunganisha nguvu kamwe tusidharau na kubeza. Ni kwa manufaa ya waafrika wenyewe...hakuna mjomba mjomba atakayetutoa hapa tulipo kama hatutii akili zetu kwenye kusukuma mambo ya maana...mfano zamani Zimbabwe ilitumia sana bandari yetu ingawa Mzambique ilikuwa karibu zaidi. Usalama ulikuwa changamoto...imagine Tazara ingeendelea mpaka upande wa pili.....