Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Mhh nouma sana anaongeaa kwa kujiamin sana kweli yupo tayar kajitoleaa sana
 
hivi ana mpango wa kuyataja hayo majina kweli naona risala ndeeeeefu
 
lengo la kuwakamata lilikua ni kuwataja mapapa wanaowauzia pamoja na mtandao mzima.. sasa tunasubiri kutajiwa majina yao... lasivyo lengo la kuwahoji ni nn?..
lengo la kuwahoji ni kuwataka wakiri tu kuwa wababwia unga
 
Mbona anadai ana orodha lakini anaikwepa kuisoma akidai ni ndefu
 
Haahaah, makonda anasoma risala aliyojiandalia mwenyewe, lakini hajibu tuhuma zake kutoka kwa msukuma.,
 
Hahahaaaaaaaa hii sinema ni hatari....ngoja nisikilize majina haya
 
naona ni vizuri apewe likizo aweze kufyetua angalao mtoto mmoja asomeshewe na serikali ya awamu ya tano.
huu ni mukari tu hana amani nyumbani ....ndoa imekuwa ndoana kwake......kwa mchepuko hakukaliki kwa mke hakukaliki kahamua kuhamia kwa akina Wema nako amelikoroga....bado apewe uwaziri??
 
Back
Top Bottom