Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Endeleeni kutupa updates wengine tuko barabarani.
 
Makonda anazungumzia UNGA sana, wala si bangi sasa kosa la wema sijui kwa nini limewekwa kwenye kundi la mauza unga?
 
Anasema msishtuke kwa hayo majina atakayo yataja.
 
1.slip way mmiliki wake.
2.yatch club mmiliki
3.Mmi wines_Salehe
4.Mwinyi machapta.-Kinondoni
5 Rose-yuko china
 
Ayataje hayo majina tuna haraka ya kujua kama kachemka au laa ili ataje list nyingine
 
Hamna vigogo hata mmoja na ametaja hao wanao yaingiza kwa meli za mafuta majina yao?
 
Tujuzeni kinachoendelea wakuu.
Naona mzee wa kiki safari hii kalamba dume maana kaipata kwelikweli.
 
Slip way, yatch club, MMy wine..nasubiri GSM..
 
Back
Top Bottom