Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

Najiuliza inakuwaje Slaa na Zitto kukaa kimya hapo zamani na hatimaye hivi sasa kuhusiana na tuhuma nzito dhidi ya mwenyekiti wao wa chama wa enzi hizo??r 1.Je Slaa na zzito hawakujua kuwa mwenyekiti wao anakwepa kodi??au kuhujumu NHC ???...je hawakujua ya kuwa anahusuka na ngada(rejea list ya Makonda) ina m hawaaana gani kwa hawa watu wenye uwezo wa kupa ta nyeti za watu ikiwemo serikali waushindwe usanii wa mbowee.kuna male.ezo zaidi ya kumfichia siri?

Mbona unawataja Dr. Slaa na Zitto pekee
Kwa nini hukuanza na
TRA walikuwa hawajui?
NHC walikuwa hawajui?
KITENGO CHA MADAWA nao walikuwa Hawajui?

Badala ya kuanzia kujenga hoja zako kwenye shina wewe unaaznia kwenye matawi
 
Tafuta kiki nyingine hio imekataa. Sasa ni Daudi na jipu tuu huu ujinga wako acha tunajua unatumika sana we.
 
Ana hoja huyo au ana vioja ! balala ya kuhoji kubwa lao kila lilipopita liliacha doa,yy kang'ang'a nia chadema.uvuvi,kapiga,ujenzi kapiga mabarabara yanachanika km kaptula ya mwanafunzi wa kolomije aliyeibuka na ziro kitaifa.majumba ya serikali kauza,mnapo ona
Kwa jirani kunaungua ujue kwenu kumeteketea.tafakari kabla hujamsema mwingine.
 
Alisikia hotuba ya Makamu wa Rais wa Ghana kule Mauritius ili wajifunze kuwa kutoza kodi nyiiingi siyo njia pekee ya kuongeza pato bali unaweza kupunguza uka stimulate viwanda vingi na hivyo kuongeza idadi ya walipa kodi!!!
 
..hakuna anayepinga Tz kuunganisha nguvu na kuwa na mahusiano ya kiuchumi na nchi majirani na za Afrika kwa ujumla.

..particularly naunga mkono Ethiopian Airline kufungua HUB hapa Dsm.

..tena ningependa waweke hub (abiria na mizigo) nyingine kanda ya kaskazini ili kusaidia sekta ya utalii na sekta ya kilimo cha maua.

..zaidi naunga mkono mashirikiano ktk sekta ya nishati. Mpango wa kuwa na grid ya pamoja kuanzia Ethiopia, Kenya, Tz ni mzuri.

..nisichokubaliana nacho ni madai yaliyotolewa kuwa mizigo ya Ethiopia itakuwa ikiletwa bandarini Dsm na baadaye kupakiwa ktk ndege kwenda Addis Ababa.

..lingine nisilokubaliana nalo ni hoja ya kufundishwa na Waethiopia jinsi ya kuzalisha umeme wa maji. Naamini utaalamu huo waTz tunao. Tumekuwa na miradi ya Kidatu, Mtera, Pangani, ..miongo kadhaa kabla Ethiopia hawaanza mradi.

..lakini vilevile kwa mazingira yetu, umeme wa maji siyo wa uhakika. Tulishaamua kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme wa gesi.

..Idea ya kushirikiana na Ethiopia ni nzuri. Tatizo nimeliona ktk hoja za JPM ambaye alijikita zaidi kuomba-omba hata mambo ambayo yako ndani ya uwezo wetu.

..
Mkuu hapo kwenye Hub naomba unieleweshe kidogo. Ina maana watakuwa na hub ya ndege zao kuanzia DSM kwenda mataifa mengine bila kupitia Adis?
Au ina maana itakuwa hub ya kuunganisha mataifa mengine kabla ya kupitia Adis Ababa?

Ninavyoelewa kila shirika la ndege huweka hub katika nchi husika kwasababu za kiuchumi

Kwa upande wa Ethiopian airline, nini hasa kinalengwa? Na je wapo tayari na kwa faida zipi?

Kuhusu umeme, katika mambo yalinisikitisha sana hili ni mojawapo.

Nyerere alijenga mabwawa yote licha ya uchanga wa Taifa na matatizo mengine.

Mradi uliobaki ulikuwa wa Stiegler ambao ungekuwa mkubwa sana.

Serikali ya JK ilianzisha mchakato tukaambiwa umeme utakuwepo hadi kuuza Zambia na Kenya. Ghafala tukasikia gesi itaondoa tatizo na kuwa na ziada. Sasa tunasikia kuagizwa umeme

Kuunganishwa ni grid ya Afrika mashariki ni jambo jema, hata hivyo si jambo la kujivunia.
Tulitakiwa tunufaike na grid tukiangalia majirani zetu wa Rwanda, Burundi na Malawi

Majirani hawana source nzuri za umeme , ilikuwa fursa kwetu na si shangwe za kuagiza

Tunaposimama na kujivuna umeme wa bei rahisi ni kurahisha uwezo wetu wa kufikiri
Iweje Ethiopia watumie umeme wa maji kutuuzia wakwetu uwe ghali kiasi cha kuwasifia!!

Tume 'explore' sehemu zote hadi kudhani kuagiza umeme ni jambo la busara?

Tulijenga vipi Nyumbani ya mungu, Pangani falls, Mtera, Kidatu na sasa tudhani hatuna 'option'?

Kutumia umeme rahisi wa Ethiopia ni jambo la kushangaza.
Ukifika hapa nchini utakuwa rahisi kuliko wa Tanesco.

Tunajua kuna malipo ya infrastructure, lakini bado utakuwa rahisi. Something is wrong!
 
Wewe nae ni GT?au wewe ni jingalao kielehele wa ccm


Swissme
RUDI KWENYE TOpiC ....hoja hujibiwa kwa hoja....kihelehele ndio msemo wa namna gani??again...acha mipasho ya facebook na watsapp jjibu hoja
 
Mbona unawataja Dr. Slaa na Zitto pekee
Kwa nini hukuanza na
TRA walikuwa hawajui?
NHC walikuwa hawajui?
KITENGO CHA MADAWA nao walikuwa Hawajui?

Badala ya kuanzia kujenga hoja zako kwenye shina wewe unaaznia kwenye matawi
wote hao tunajua walikuwa compromised kwa namna moja ama nyingine katika zama hizo...swali la muhimu hawa wawili walikuwa mstari wa mbele sana kupinga maswala ya ukwepaji kodi na waliichachafya serikali na waliaminika kwa kupata taarifa nyeti za ubadhilifu,ufisadi,ngada n.k....Je inawezekana walikuwa na taarifa zza mbowe lakini wakazihold??....uzalendo wao tuliouamini uko wapi??ni kwa nini hadi leo hawajacomment lolote kuhusu tuhuma zinazomgusa mbower?
 
Wewe kama ni meli Huwezi ingia ɓanɗari ya mtu bila visa hiyo visa inaitwa mkataɓa wa ushiriƙikiano wa usafiri ambao lazima usainiwe na raisi ingeƙuwa ƙila meli ruksa kuingia za alkaeɗa na alshaɓaɓu zingeƙuwa zinaingia tu ɓila shida kwani hakuna restriction
KWA NINI USINYAMAZE AU KUONGELEA YA LEVEL YAKO????

UNAWEZA KULAZIMISHA WATU WAKUITE MPUMBAVU.... WAKATI WEWE SIO MPUMBAVU.
 
Kuna baadhi vyama mpaka leo havieleweki vinasimamia maslahi ya nani, kuna wawakilishi wao walikuwa wanapiga sana kelele juu ya madawa ya kulevya leo mtu anasimamia wao wanakuja juu kutetea hao wahusika kila siku mapovu yanawatoka juu ya mapapa wa madawa hamjui kuwa viongozi wenu pia ni wahusika wakuu wa madawa nani asiye urafiki wa Lowassa na Rostam, rostam na familia yake ni mmoja wa wahusika wakuu.
Je nani hajui kuhusu GWAJIMA ambaye ndiye alkua mlez wa CHADEMA nani hajui juu ya haya.

Naona humu tunashabikia tunapiga kelele juu ya kitu ambacho hatukijui, msifuate upepo nyie bendera.
Mbaya zaidi wanaungana dhidi ya Makonda
 
Vita dhidi ya madawa ya kulevya inahitaji mikakati na umakini wa hali ya juu lakini kwa jinsi hali inavyoenda sidhani kama kuna mwanga mbele zaidi ya siasa za muda mfupi
Kwa hakika watu wamenyooshwa
 
Back
Top Bottom