Vita dhidi ya dola ya Marekani (De-dollarization) yaelekea kugonga mwamba



Ni kweli.. kwan haya ya Brics yametokea wapi si baada ya Urusi kupigwa embargo za kibiashara.. akataka kufanya biashara kwa pesa yake ila sasa mteja mfalme na wateja wanajua ana shida wakachomoa wakasema watalipa kwa pesa zao maana wakifanya kwa Rubble ya Urusi wanakuwa kama wamekula hasara maana itabidi wamtegemee urusi.. .. hakuna sehem watafanya biashara na rubble isipokuwa urusi tu.. urusi akaona hii itakuwa hasara yaan aweke reserve ya rupia ya india, aweke reserve ya. Yuan ya china aweke reserve sijui ya peso ya brazil.. akaona isiwe tabu tuanzishen reserve currency ingine .. ndo ilikotokea Brics..

sasa kama ulivyosema nchi zingine kina sie kama cuba na venezuela, libya na iraq hatuna ubavu wa kuanzisha Currency maana tunaimport kuliko export Urusi kapambana na amefanikiwa sababu ana laverage ya kutosha ana export kuliko kuimport

Na ili kuipa nguvu Brics urusi ilibidi aanze lobbing kwenye nchi zingine hasa Africa Asia na middle east..ndo maana unaona mara Iran anataka kujiunga, South Africa mara sijui nigeria mara sijui sudan wanataka kujiunga.. inabid afanye lobbing ya Brics kukubalika vinginevyo itafeli.. na lobbing yake ni kutoa incentives.. maana bila hivyo mtu hawez kujiunga na Brics. Huku anajua inakubalika na nchi chache tena mbaya zaid kama
Nchi yenyewe ina import zaid kuliko export
 
Brics imeanzishwa mwaka gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…