Vita dhidi ya simba ni kubwa sana lengo lao Mo abwage manyanga

Naskia anaandaliwa tajiri Kigwagwala aje awekeze kwenye timu.
Naye ameahidi kuanza kwanza kusajiri mchezaji mmoja matata sana sana.
 
Kwa ujumla unaona kwa upande wako tu.lakini ukiangakia vizuri hata sie Yanga tunaona tunaandamwa
Hivi sasa kuna madalali wanaojiita wachambuzi ndio wanaoharibu mpira huu kwa sasa wanaitajiwa kudhibitiwa wamekuwa watu wa ovyo kwenye soka letu
 
Toka wameanza kupiga makelele Yao yakimaskini hawajaipunguzia Simba kimataifa, ndio maana CAF Kila kukicha wanaipost Simba.
Hadhi ya Simba siyo yakukaa hata meza moja na Yanga ni vile tunashiriki ligi moja ndio maana Yanga anapata nafasi ya kujikomba na kujilinganisha na Simba
 
Maadui wakubwa wa MO wapo ndani ya Simba na si nje ya Simba. Mf Kassim Dewji na kundi la ni kundi moja lenye nguvu mno ndani ya Simba sababu wana maslahi yao binafsi ndani ya Simba na wana uwezo wa Kuihujumu Simba. Hao wakina Kamwe na Jemedari unawaonea,kwani hata MO mwenyewe hawajui.
 
Yani kwa hii miaka mitano hamna tim iliyofanya vizuri kama Simba, lakini wanajifanya hawalioni hilo. Simba hailingani na Yanga, Yanga ni ndogo mno kwa Simba kwa sasa. Simba apewe heshima yake anayo stahili
Kufanya vizuri kwa kuchukua kombe gani? Makolo mnajifariji kishamba sana
 
Hapo ndo utajua wenye mapenzi ya kweli na timu yao na wale wanaoenda kwa kutoa rushwa. Hata mseme vipi Simba itabaki kuwa Simba nyie endeleeni na kushabikia watu wasio na weledi wa kuchambua wawafurahishe then siku vibarua vikiota nyasi litimu linakua ziiii ila jamani ndo mjue Yanga ni timu ya kimaskini mpk fikra zao.
 
Sasa hivi baada ya sako kushinda tuzo wamekuja na hoja ya mrisho ngasa kuwa mfungaji bora ila utopolo bwana akili zao wanazijua wenyewe.
 
Exactly mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…