mFuKuZa nDoTo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 492
- 639
Mimi sio muumini sana wa dini za kimapokeo, najua dini zote zina matatizo yake lakini kwa kuwa hapa tunazungumzia dini yenu wacha nikutwange nyundo haswaOK amini unavyo amini
Siwewzi kubadilisha imani yako
End of the day Sina faida kwako wala wewe huna faida kwangu that's why I should just say wewe unaimani yako Nami ninayo imani yangu
Tukizungumzia uislamu na ugaidi waislamu hawanasuki, ni watu wenye chuki sana na imani zingine