mFuKuZa nDoTo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2021
- 492
- 639
Mimi sio muumini sana wa dini za kimapokeo, najua dini zote zina matatizo yake lakini kwa kuwa hapa tunazungumzia dini yenu wacha nikutwange nyundo haswaOK amini unavyo amini
Siwewzi kubadilisha imani yako
End of the day Sina faida kwako wala wewe huna faida kwangu that's why I should just say wewe unaimani yako Nami ninayo imani yangu
Hakuna niliposema mnawafadhili au wanawafadhili unapojadili angalia unajadili na naniMsikiti gani unaujua kuna magaidi wanafichwa?
Mara usema wao wanatufadhili mara unasema Sisi Ndio tunawafadhili
Wewe Unahitaji kwenda hospitali mirembe
Kama unajua uislamu unajua Allah na Muhammad Kuna feva walikuwa wanapeana wao wawili tu na hakuna muislamu mwingine anaweza pewa?Ww uislamu umeijulia wapi?? Hadithi za mtume muhammad swallahullah alaih wasalam unazijua kuzitafsir ??? Au umeona sehemu kumeandikwa kiswahili unachukua kama ilivyo bila kujua mantiki yake ??? Hivi unajua mtume wetu alikuwa na ndugu wasio waislamu mbona hakuwaua ??? ACHA ujinga BAsi tumia hata akili yako
Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
unataka ushahidi?Una ushahidi ?
Una ushahidi ?
HahahaHakuna niliposema mnawafadhili au wanawafadhili unapojadili angalia unajadili na nani
Misikiti naifahamu sina haja kuitaja
Kama ingakua tuna chuki na wasio waislamu vipi kwenye Timu za Mpira tupo pamojaMimi sio muumini sana wa dini za kimapokeo, najua dini zote zina matatizo yake lakini kwa kuwa hapa tunazungumzia dini yenu wacha nikutwange nyundo haswa
Tukizungumzia uislamu na ugaidi waislamu hawanasuki, ni watu wenye chuki sana na imani zingine
Kwaiyo wewe ni bora kuliko watu wengine?Ukweli ni kwamba, uislamu ni dini inayotaka mamlaka ili watu wake waishi vizuri, na uislamu pia unapingana kwa hali zote na mamlaka ya watu iliopo duniani sasa. Uislamu ili usidhulumiwe inahitajika mamlaka ya watu ifuate sheria za kiislamu. Ni kama hapa Tz ili wapinzani wasihujumiwe inabidi wao ndio wawe wenye mamlaka ( sisemi upinzani ni sawa na uislamu). Marekani ndio adui mkubwa wa uislamu, sheria zake ni za kikafiri kuanzia mwanzo mpaka mwisho. China nae hataki kabisa kuusikia uislamu, ndio kwanza kawalisha nguruwe wale mateka wa Uyghur.
Ambacho waislamu inatakiwa wajue ni hiki ; dini hii imepitia utawala wa Rumi na ndio dini pekee tofauti ya ukatoliki iliyodumu, hapa napo itapita tu salama. Cha muhimu ni kuyashika yaliyosemwa Mungu, waislamu ndio watu bora kuliko wote katika watu wamuaminio Mungu.
Wewe unaelewa nini kulaani?Kama wanafadhiliwa na makafiri mbona hamlaani?
Hiyo History inafundishwa darasa la ngapi nirudi class nikahakiki?Kama ingakua tuna chuki na wasio waislamu vipi kwenye Timu za Mpira tupo pamoja
Nyumba za kupanga tupo pamoja
Makazini tupo pamoja
Shuleni tupo pamoja
Mbona kwenye vijiwe vya kahawa na draft tupo pamoja
Sidhani kama waislamu ni wabaguzi ila Tanzanian kuna history fulani tumefundishwa mashuleni ya kusema waarabu na waislamu ni wabaya
History hio inafundishwa Tanzania tu
Mbona hakuogopa kile kulichomkuta Tundu Lissu?Hata kama kila mtu ana dini yake lakini yenu ya ajabu sana
Niliogopa sana kwa kile kilichotokea Mtwara
Kwanini waislamu mmeamua kutokufuata chuki za Allah kwa wakristo na wayahudi.Kama ingakua tuna chuki na wasio waislamu vipi kwenye Timu za Mpira tupo pamoja
Nyumba za kupanga tupo pamoja
Makazini tupo pamoja
Shuleni tupo pamoja
Mbona kwenye vijiwe vya kahawa na draft tupo pamoja
Sidhani kama waislamu ni wabaguzi ila Tanzanian kuna history fulani tumefundishwa mashuleni ya kusema waarabu na waislamu ni wabaya
History hio inafundishwa Tanzania tu
Ndio Muhammad kawaaminisha hivyo kwa sababu wanafanya ugaidi.Kwaiyo wewe ni bora kuliko watu wengine?
Kichekesho kama hiki unabonyeza ngap kuapata?
Tunaifahamu unataka kufundishwa? Kuwa muislamuJibu swali mkuu!!!
"kuapata" ndo ninikuapata
Tangu kuanguka kwa Ujamaa, Mabepari hawana mfumo unaowatisha na kuwapinga zaidi ya Uislamu. Hivyo miongoni mwa mbinu wanazotumia kuumaliza Uislamu bila mafanikio ni Vita dhidi ya ugaidi.
Kupitia Vita hii wamejihalalishia damu, dhuluma, na mateso kwa Waislamu dunia nzima wakiwatumia viongozi vibaraka wanaotawala nchi changa kwa niaba yao.
Nchi zinazokoloniwa(zinazoendelea) zikalazimishwa kupitisha Sheria ya ugaidi na kuua na kutesa raia wao ikiwaweka magerezani bila ushahidi, nk kwa hongo ya "misaada ya kupambana na ugaidi" huku viongozi wake ambao ni mbwa na watumwa wa Wakoloni wakiwaachia Wakoloni hao kupora Mali ya ummah kwa jina la uwekezaji
Hakuna sehemu inasema muwachukie mayahudi wala wakristo Bali tunaambiwa tusifanye alliance nao maana wao kwa wao ni alliance against usKwanini waislamu mmeamua kutokufuata chuki za Allah kwa wakristo na wayahudi.
Maneno ya chuki kutoka kea Allah
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao.
3;28. Waumini wasiwafanye makafiri kuwa wapenzi wao badala ya Waumini. Na anaye fanya hivyo, basi hatakuwa chochote mbele ya Allah.
Kwa nini Allah alikuwa anawachukia wakristo na wayahudi tu hakuona imani zingine?
Shule ya msingi kuanzia darasa la Tatu eti waarabu walikua wanatoboa miguu mababu zetuHiyo History inafundishwa darasa la ngapi nirudi class nikahakiki?
Kwa kuwa wamesema waarabu basi walimaanisha waislamu? Wewe mbona zaidi ya mjinga?Shule ya msingi kuanzia darasa la Tatu eti waarabu walikua wanatoboa miguu mababu zetu
Allah mpaka mzazi wako kama ni dini nyingine amesema usifanye urafiki nae (chuki za allah mpaka kwa ndugu wa damu)Hakuna sehemu inasema muwachukie mayahudi wala wakristo Bali tunaambiwa tusifanye alliance nao maana wao kwa wao ni alliance against us
Aya ingine inasema tusifanye makafiri ni wapenzi wetu badala ya waumini
Sio tuwachukie