Vita gani Haji Manara anaihubiri hapa?

Vita gani Haji Manara anaihubiri hapa?

Happycuit

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
646
Reaction score
542
Hapa ndipo utakapoona kuwa watu wa aina ya huyu Manara ni hatari sana katika ustawi wa soka nchini,wanaturudisha nyuma sana hawa.

Hii game nadhani ilikuwa ni kule Nigeria, ndugu zetu yanga walipata misukosuko, hapo anachofanya manara ni kuhamasisha timu, kuboost morali ya timu.

Shida kwangu naona anatoa maelezo kwa goalkeeper, sasa kitaalamu hii haijakaa sawa, je maelezo anayotoa yanaendana na kocha!?

Au mleta mada ulizungumzia vita ya nje kwa maana uchawi, hii iko wazi kabisa sisi watz(Afrika kwa asilimia kubwa tunaamini uchawi katika soka) sio wao tu yanga, hata sisi SIMBA sc tunaamini katika hilo.
 
Nilivyomuelewa mleta mada alikuwa anajaribu kuangalia kama huyu mr.whiteman anayaishi yale anayojifanya kuyahubiri...maana hapa walitaka kususa wasicheze hii mechi kisa wamefanyiwa ndivyo sivyo(vita nje ya uwanja) sasa baada ya kuwa vita hiyo ya figisu wameishindwa wameamua kuihamishia uwanjani....napo wakashindwa ,mpira wa afrika umetawaliwa na figisu nashangaa yeye anavyoishikia bango simba [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
UJINGA NA UPUMBAVU ULIOKITHIRI

1) Msemaji wa Timu (ZeruZeru) yupo kwenye Benchi la Ufundi anatoa maelekezo yake.
2) Enjenea Harth Saidi (Sijui cheo chake ni Kipi kwenye Yanga) yupo kwenye Benchi la Ufundi anatoa maelekezo.

Lakini Timu ina Kocha na Benchi lake la Ufundi.

Halafu Utopolo hii inayocheza kwa Maelekezo ya Manara ilihitajika iwafunge Wanaijeria.
 
kweli Simba tupo mbali sana. sasa huyu msemaji anafanyaje bench la ufundi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
UJINGA NA UPUMBAVU ULIOKITHIRI

1) Msemaji wa Timu (ZeruZeru) yupo kwenye Benchi la Ufundi anatoa maelekezo yake.
2) Enjenea Harth Saidi (Sijui chake ni Kipi kwenye Yanga) yupo kwenye Benchi la Ufundi anatoa maelekezo.

Lakini Timu ina Kocha na Benchi lake la Ufundi.

Halafu Utopolo hii inayocheza kwa Maelekezo ya Manara ilihitajika iwafunge Wanaijeria.
[emoji23][emoji23]
 
The return of makolo wakapigwa nje ndani sasa hivi wamehamishia kisasi kwa simba.
 
kweli Simba tupo mbali sana. sasa huyu msemaji anafanyaje bench la ufundi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amekwenda kwa diara hajui amwambie nn kabaki kusema ...diara war,diara war,war diara war war war waa waa waaa waaaaaa
Albino ana shida sn huyu

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
kweli Simba tupo mbali sana. sasa huyu msemaji anafanyaje bench la ufundi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hayo ndiyo anayoyataka ZeruZeru Kila Kitu kukifanya nothing without him.
Babra alipomnyima hiyo nafasi ya ku-intervene kazi zisizomuhusu ndiyo akaanza kulialia eti ananyimwa Tiketi za ndege Timu ikitoka nje ya Tanzania.

Sasa Msemaji na Benchi la Ufundi wapi na wapi?

Tena Timu yenye uongozi eti ZeruZeru anaamua na kusema "Hatuchezi".

Ebo! Yani ZeruZeru anaiamulia Timu kuwa icheze au isicheze??? Ungozi wa Timu unafanyiwa maamuzi na ZeruZeru kisa tu ni Bwabwa la GSM?
 
Katika harakati za kuhamasisha, hana madhara...
 
Katika harakati za kuhamasisha, hana madhara...
ushawahi kumuona albino mwanajeshi au hata mgambo anyway hata mlinzi wa getini?sasa hii vita anaihamasisha vita gani?anaijua vita huyu zeruzeru?wakati kukaa juani tu hawezi...
 
Back
Top Bottom