Hawatakula hii nchi kama hakutakuwa na amaniBaada ya kufikiria jambo ili ndugu zangu GEN Z (wananchi) vita ivi havitakuwa rahisi kama tunavyo fikiria nakuandamana kwetu si dhani kama tutafaulu kuwaondoa madarakani hawa watu.
Unajua ni kwanini tunapambana na watu ambao na wao pia wanahitaji ukombozi kwa mantiki hiyo basi tunaye pambana naye sio adui yetu. Adui yetu yupo nyuma ya tunaye pambana naye ambaye watanzania hawamjui.
Kwa ufafanuzi mzuri ni ivi kuna rais alafu kuna kikundi ambacho kikonyuma ya rais na kikundi icho ndo adui yetu mkubwa rais hana nguvu yeyote juu ya kikundi iki ndicho kinachoongaza nchi kwa kutumia sura ya rais.
Hawa watu wakiona mambo ni magumu zaidi wanaweza kutuletea vita vya wenyewe ili wao waendelee kula matunda ya nchi hii.
Sasa inabidi GEN Z tutumie akili kuliko vurugu
Hicho kikundi kuwa na madaraka hayo ni kutokana na udhaifu wa Rais. Kama Rais hawezi kudhibiti hicho kikundi basi ajiudhuru kumpisha atakaewezaBaada ya kufikiria jambo ili ndugu zangu GEN Z (wananchi) vita ivi havitakuwa rahisi kama tunavyo fikiria nakuandamana kwetu si dhani kama tutafaulu kuwaondoa madarakani hawa watu.
Unajua ni kwanini tunapambana na watu ambao na wao pia wanahitaji ukombozi kwa mantiki hiyo basi tunaye pambana naye sio adui yetu. Adui yetu yupo nyuma ya tunaye pambana naye ambaye watanzania hawamjui.
Kwa ufafanuzi mzuri ni ivi kuna rais alafu kuna kikundi ambacho kikonyuma ya rais na kikundi icho ndo adui yetu mkubwa rais hana nguvu yeyote juu ya kikundi iki ndicho kinachoongaza nchi kwa kutumia sura ya rais.
Hawa watu wakiona mambo ni magumu zaidi wanaweza kutuletea vita vya wenyewe ili wao waendelee kula matunda ya nchi hii.
Sasa inabidi GEN Z tutumie akili kuliko vurugu
Coward?. Tumeshapoteza ndugu hata kabla ya kuandamana tunatekwa tunapotewza, miili yetu inaokotwa nchi kavu na majini, nasi tutapotea wakati wowote. Vyovyote tutakavyochaguwa hatuko salama, hivyo wacha tupambane.Baada ya kufikiria jambo ili ndugu zangu GEN Z (wananchi) vita ivi havitakuwa rahisi kama tunavyo fikiria nakuandamana kwetu si dhani kama tutafaulu kuwaondoa madarakani hawa watu.
Unajua ni kwanini tunapambana na watu ambao na wao pia wanahitaji ukombozi kwa mantiki hiyo basi tunaye pambana naye sio adui yetu. Adui yetu yupo nyuma ya tunaye pambana naye ambaye watanzania hawamjui.
Kwa ufafanuzi mzuri ni ivi kuna rais alafu kuna kikundi ambacho kikonyuma ya rais na kikundi icho ndo adui yetu mkubwa rais hana nguvu yeyote juu ya kikundi iki ndicho kinachoongaza nchi kwa kutumia sura ya rais.
Hawa watu wakiona mambo ni magumu zaidi wanaweza kutuletea vita vya wenyewe ili wao waendelee kula matunda ya nchi hii.
Sasa inabidi GEN Z tutumie akili kuliko vurugu
Siwape uoga na waapa code tujue tunapambana na adui wa aina gani na tumuendee au kudhibiti kwa njia gani kuandamana peke yake hakuwezi kuwa njia ya kuwaondoa fikiria kitu kama mtu yupo tayari kuua unafikiri anaogopa chochote uyoJina lako lina akisi akili yako.
Acha kutuuzia uoga.
Siwapi uoga na waapa code tujue tunapambana na adui wa aina gani na tumuendee au kudhibiti kwa njia gani kuandamana peke yake hakuwezi kuwa njia ya kuwaondoa fikiria kitu kama mtu yupo tayari kuua unafikiri anaogopa chochote uyo
Dawa ni moja tu tuwapige kwenye tactics kuteka vyombo vyote vya habari nchini , pili kuanzisha separatipn systme kila mkoa kivyake ukatae kuongozwa na samia na kudai haki au mali za mkoa uo iwe faida kwa wananchi wa mkoa uo
Njia ya tatu kuwapiga kwenye international tuzidi kuwachonganisha na jumuia ya kimataifa
Wameispin mwelekeo,sasa imeingia dini kua tunamuonea Samia kwa kua ni MwislamBaada ya kufikiria jambo ili ndugu zangu GEN Z (wananchi) vita ivi havitakuwa rahisi kama tunavyo fikiria nakuandamana kwetu si dhani kama tutafaulu kuwaondoa madarakani hawa watu.