Vita hivi ndugu zangu Gen Z siyo rahisi kama tunavyofikiria

Vita hivi ndugu zangu Gen Z siyo rahisi kama tunavyofikiria

Hicho kikundi ameshindwa kukishughulikia atuachie sisi tumalize show

We never beg..we never bow
9dec...
 
Baada ya kufikiria jambo ili ndugu zangu GEN Z (wananchi) vita ivi havitakuwa rahisi kama tunavyo fikiria nakuandamana kwetu si dhani kama tutafaulu kuwaondoa madarakani hawa watu.

Unajua ni kwanini tunapambana na watu ambao na wao pia wanahitaji ukombozi kwa mantiki hiyo basi tunaye pambana naye sio adui yetu. Adui yetu yupo nyuma ya tunaye pambana naye ambaye watanzania hawamjui.

Kwa ufafanuzi mzuri ni ivi kuna rais alafu kuna kikundi ambacho kikonyuma ya rais na kikundi icho ndo adui yetu mkubwa rais hana nguvu yeyote juu ya kikundi iki ndicho kinachoongaza nchi kwa kutumia sura ya rais.

Hawa watu wakiona mambo ni magumu zaidi wanaweza kutuletea vita vya wenyewe ili wao waendelee kula matunda ya nchi hii.

Sasa inabidi GEN Z tutumie akili kuliko vurugu
Hata vikiwepo vikundi 20 nyuma yake wananchi wakiamua kila kitu kinawezekana, mfano upigwe mtiti wa week nzima mfululizo alafu useme kina kikundi , wewe unacheza na wananchi nini wakuamua
 
Back
Top Bottom