Vita inaelekea kumalizika, Trump aipa onyo Israeli kama ikiendelea kuipiga Lebanon

Vita inaelekea kumalizika, Trump aipa onyo Israeli kama ikiendelea kuipiga Lebanon

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Mlango bahari sasa upo wazi Irani wenyewe wametangaza ila udhibiti wa marekani utaendelea mpaka makubaliano yasainiwe rasmi.. Israeli acha mara moja kupiga magumu Lebanon imetosha sasa..

Screenshot_20260417-211249_Chrome.jpg
 
Mwenye nguvu huwa hatoi onyo ili kumlinda mnyonge, bali huwa anafanya hivyo ili asipoteze udhibiti wa mchezo.

Trump hataki Israeli iache vita, anataka Israeli iache vita chini ya maelekezo yake ili yeye apate kusifiwa kama kawaida yake.
 
Ila trump naona kawapiga kijembe ulaya kwamba NATO NI paper tiger
 
Attachments

  • Screenshot_20260417-212141_Chrome.jpg
    Screenshot_20260417-212141_Chrome.jpg
    116 KB · Views: 22
Irani imejua kumtia mtu adabu

Wewe ni mzima kweli!!

Iran ilisema kuwa itazuia meli za mataifa hasimu na marafiki zao, leo imesema meli zote pamoja na mahasimu wake zipite bila ya tozo iliyokuwa ameiweka.

Iran ilisema kuwa kama Marekani itaendelea kuzuia meli kuingia na kutoka kwenye bandari za Iran, yenyewe ingezuia meli kupita mkondo wa Hormuz na mikondo mingine ya eneo la Ghuba, Marekani inaendelea kuzuia meli kuingia na kutoka kwenye bandari za Iran, Iran haijafunga mkono wowote, hata ule wa Hormuz aliosema meli za mahasimu wa Iran hazitaruhusiwa kupita, imesema zote zipite. Kama una akili timamu, hapo ni nani amelegea na kuachia kila kitu?

Hata hivyo naipongeza Iran, kwa sababu safari hii imeonekana kujali uhai na maisha ya watu wake. Maana kiuhalisia, hakuna Taifa la kushindana na Marekani japo yapo mengi ambayo yanaweza kuitia hasara Marekani, lakini siyo overall win. Vita, pamoja na mambo mengine, ni uchumi. Iran yenye uvhumi uliodorora, inawezaji kupata ushindi?
 
Iran wamekubali dust kuzolewa na marekani?
 
Wewe ni mzima kweli!!

Iran ilisema kuwa itazuia meli za mataifa hasimu na marafiki zao, leo imesema meli zote pamoja na mahasimu wake zipite bila ya tozo iliyokuwa ameiweka.

Iran ilisema kuwa kama Marekani itaendelea kuzuia meli kuingia na kutoka kwenye bandari za Iran, yenyewe ingezuia meli kupita mkondo wa Hormuz na mikondo mingine ya eneo la Ghuba, Marekani inaendelea kuzuia meli kuingia na kutoka kwenye bandari za Iran, Iran haijafunga mkono wowote, hata ule wa Hormuz aliosema meli za mahasimu wa Iran hazitaruhusiwa kupita, imesema zote zipite. Kama una akili timamu, hapo ni nani amelegea na kuachia kila kitu?
Mimi sio mzima ila sijakuzidi wewe hata robo
Marekani walisema kama watafungua mlango wa Hormuz ila hawakuufungua mpaka iran imeamua kuufungua wenyewe bila hilarious

Aloacha kila kitu ni yule alotuaminisha kwamba iran haina jeshi ila bado ikafunga na imefungua kwa amri yao
Ni mwenye kukosa akili tu ndio hawezi kuelewa hili
 
Nani katiwa adabu? Naval blocked inaendelea mpaka msarende
Suala la kusarenda kwa iran usahau kijana
Vikwazo vya miaka 47 hawakusarenda itakua blockade ya week mbili
Kwanza mnaweka blockade ya nini wakati iran haina tena jeshi kapiteni hormuz
 
Ki ujumla Marekani imefata kile Iranian ilitaka !!!

yani kusitisha Vita ya Lebanon ili nayo Iranian ifungue Hormuz kwenye kipindi cha kusitisha Vita!!

Inaonekana mlango utatungwa tena baada izo siku 10.
 
Back
Top Bottom