Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Ommy hajiamini kwanii asimtaje huyo dem wa Ney aliyemla, mm naona anatoa povu jiiiingi
 
how possible kijana wazazi wako wamekulea vizuri unaamua mbeleni kuchepukia dyudyu ya mwanaume mwenzio ikukamulie. Nyie vijana da!
 
Wabongo wasipopewa makavu live hawabadilikagi mi namuunga mkono ney wa mitego sasa ni mwendo wa kuchanana live tu hadi kieleweke.
 
Hahahaha
 
nAy mganga wake mzuri,maana naona kapokea kijiti toka kwa Chid Beenz,nilikua namkubali sana Chid kaniangusha.Nay anakuja vizuri kwa Hip hop.
 
ommy dimpoz ndio handsome pekee asiekua na kashfa za ngono haijawai kuonekana akiwa katika poz la mahaba na mwanamke tangu mwaka 2002 alipokua mbezi sec licha ya umaarufu itakua ana kibamia
 
ommy dimpoz ndio handsome pekee asiekua na kashfa za ngono haijawai kuonekana akiwa katika poz la mahaba na mwanamke tangu mwaka 2002 alipokua mbezi sec licha ya umaarufu itakua ana kibamia
duh...
 
Kwa hii vita navyo ona mm lazma Nchi za Magharibi sisitize kutuma misaada na kutuwekea vikwazo !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…