barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ila mwisho wa siku, jinsi alivyomaliza Ommy ni kwamba wao kama wasanii hawako serious, anampa promo na wimbo wake, yaani kaweka hadi link ili jamaa akapate views za kutosha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...Hahahahahaa Ommy Dimpoz katisha sana,uwiiii sio kwa majibu haya.
Ngoja niende Insta kushuhudia mpambano vizuri.
ahahahahahahahah...dada nifah ntake radhi mamii mi kidume tena miraba 6 apo ni nas mapesa ila mods walizingua
Dimpoz hajajibu lolote wala hajakanusha kaleta mipasho. Mambo ya paspoti yanahusu nini sasa? Jibu tuhuma
Muuza Sura hebu fafanua hapo kwenye support ya mawingu haipo tenaAfadhali shetta hajajibu kuhusu kupewa gari na chief kiumbe angefanya wabongo wafukue mafaili yake. ..pia kwanini ney hajamchana rommy Jones maana hii tabia ya ommy na rommy si ya kufumbiwa macho....nikirudi kwa ney nadhani pesa zinamchanganya ndo maana anapaka bila woga ila kama hajajipanga vizuri game inamshinda maana support ya mawingu haipo tena
kwani ney ni jina la kiume????!1. Jina tu "Ommy Dimpoz" limekaa kijike jike... Mwanaume kamili huwezi kuwa na Jina laini kama hilo.
2. Uvaaji wake ni wa kike kike.... Anavaa nguo za dada zake.
3. Majibu yake yamekaa kike kike.... .
Inaonekana Jamaa anaguswa Kijambio....
Mzee!
Paspoti inahusika kuwa huwa anaenda Nje ya Nchi kukalia kitu chenye ncha kali.
HahahahahDuuh..Mpaka sasa matokeo ni 2-1..Ommy dimpoz anaongoza..Sijui mbele itakuwaje