tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
siwezi kujua , ndiyo maana mimi najiuliza inakuaje mtu anajua private parts status za mwenzake tena wenye jinsia moja ?una uhakika anapanda ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siwezi kujua , ndiyo maana mimi najiuliza inakuaje mtu anajua private parts status za mwenzake tena wenye jinsia moja ?una uhakika anapanda ?
Mi simo.....Huu sasa wivu. Kwanini asikae na mamaake?
Umemaliza yote mkuu,inashangaza sana.hii nchi ina watu wa hovyo sana wakiwemo wanaomuunga mkono ney
labda amempanda dimpo .. au ney kampa dimpo kashindwa kupanda .. nawaza kwa sautisasa ney kajuaje kama jamaa jogoo halipandi mlima
dada nifah ntake radhi mamii mi kidume tena miraba 6 apo ni nas mapesa ila mods walizinguaUmemaliza yote mamii,inashangaza sana.
"ugomvi wa ney wa mitego na ommy d ni sawa kulinganisha picha ya R.kelly na Suma lee..."Saa chache baada ya ney wa mitego kutoa hit singo yake ya ''shika adabu yako'' na moja ya mistari ya singo hiyo inamchana ommy dimpoz kwa kusema haeleweki na jogoo lake halipandi mtungi yaani mtoto chakla.
Ommy Dimpoz ameshindwa kuvumilia na kujibu mapigo. Kwa kupitia Instagram, Ommy dimpoz ameweka video ya binti mzuri na ameandika haya;
ommydimpoz Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me.
Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki.
Nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema..