Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Vita kali: Ommy Dimpoz na Ney wa Mitego waingia kwenye mtifuano

Saa chache baada ya ney wa mitego kutoa hit singo yake ya ''shika adabu yako'' na moja ya mistari ya singo hiyo inamchana ommy dimpoz kwa kusema haeleweki na jogoo lake halipandi mtungi yaani mtoto chakla.

Ommy Dimpoz ameshindwa kuvumilia na kujibu mapigo. Kwa kupitia Instagram, Ommy dimpoz ameweka video ya binti mzuri na ameandika haya;



ommydimpoz Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me.

Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki.

Nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema..
"ugomvi wa ney wa mitego na ommy d ni sawa kulinganisha picha ya R.kelly na Suma lee..."
 
Hahaaaaaaa hawa wabana pua wengi wao wanabanguliwa, ney wachane hivyo hivyo mpaka ray nae aje hapa tehe tehe tehe
 
Teh teh huyo demu kumpiga kiss kafurah kweli je akipewa papuch sidhan km ni wake kweli! Lakini ukimwanglia vizur na anavyoongea na kijichekesha unaweza hisi kweli nay kapatia
 
Kuna Yule dogo anajiita mdogo wa Diamond jina lake ni S kide,aliimbaga ngoma moja Kali sana inaitwa DADA NEEMA.. Yaani humu kamponda sana Ney to the extent ikabidi Ney amtafute ili amtie vitasa .. Na alimsurubu kisawasawa Yaani. Huo wimbo uko YouTube.
 
Ila hii nchi ya hovyo sana vijana wengi ni wavivu,hawakusoma na hawapendi kazi sasa hasira zao zoote za maisha wanahamishia kwenye mitandao ya jamii kama huko insta ni balaa. Mtu ana account kwa ajili ya kumtukana fulani tu sasa sijui faida yake ni nini na hawa wasanii wengine naona hizi bangi hawaziwezi kama mtu asimamishi we unamtukania nini kama ni mgonjwa je unataka afanyaje? Wewe kumiliki gari na nyumba isiwe sababu ya kutukana watu uwezo hatufanani kuonekana kwenye video sio kuwa na hela wacha wakae popote wakipata watajenga.
 
Hahhahaha dimpoz Ana maneno lol huyo ney bana kama amekunywa maji machafu vile
 
Mnaobishana sijui nani anadindisha nani hadindishi ni vizuri kama mngepeleka hizo **** zenu au Tigo zenu zikajaribiwe.
Halafu mlete mrejesho.
Vinginevyo fungeni mabakuli yenu
 
Back
Top Bottom