Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
Ruge ameshawahi kulala chumba kimoja na jide afrika kusini. Yaliyotokea humo hatuyajui

Kibaraka wa Luge utamuona tuu..Utaolewa Kijana..
Naamini Mungu yupo na siku zote husimamia ukweli na usawa. Basi hapo Mungu atadhihirisha ukweli kwa kumuumbua mkandamizaji na kumwenua mkweli
Huyu Luge nae kila mtu anamlalamikia atakuwa na matatizo
Mambo mengine mungu ameyaacha dunia ili atoe adhabu siku ya malipo, angekua naadahibu wanyonyaji papo kwa papo mabepari/mabeberu wangeshatoweka kwenye uso wa dunia.
Mkuu hebu soma para ya pili ni lini Jide alikuwa manager wa Ruge?
Thibitisha kauli yako
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana....
2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge..Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama Jide,hapo ndio vumbi likaanza..
3.Kwa Maelezo ya walaka wa Jide,anasema kuwa,imefika mahari,hadu wasanii wenzake,wamepigwa mkwara kufanya hata Kolabo ya Music na Jide kwa kupigwa Mkwara na Luge kwamba ,ni marufuku msanii anaye milikiwa na Luge,kujihusisha na Jide Kimuziki..
4.Luge ameamua kumzibua Jide,hadi kwa wazamini,km Vodaom,Airtel nk,kutompa sapot Jide Kwa Lolote..
5.Baada ya Jide kutaka kuzindua Show kabambe ya kuazimisha Miaka 13 ya Yeye kuwa kwenye game,Luge naye ameamua kufanya yake kwa kumtumia FA,kwa muda ule ule na siku ileile kwa Lengo la Kumfunika Jide au kumpunguzia wateja..
6..Vita kama hii nani atashinda..Nakalibisha maoni kwa wadau wote,ila tuwe na busara ktk uchangiaji
Ni macho yangu tu hapo kwenye Red au ni kweli kwamba Jide alikuwa zaidi ya Ruge?1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana....
2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge..Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama Jide,hapo ndio vumbi likaanza..
3.Kwa Maelezo ya walaka wa Jide,anasema kuwa,imefika mahari,hadu wasanii wenzake,wamepigwa mkwara kufanya hata Kolabo ya Music na Jide kwa kupigwa Mkwara na Luge kwamba ,ni marufuku msanii anaye milikiwa na Luge,kujihusisha na Jide Kimuziki..
4.Luge ameamua kumzibua Jide,hadi kwa wazamini,km Vodaom,Airtel nk,kutompa sapot Jide Kwa Lolote..
5.Baada ya Jide kutaka kuzindua Show kabambe ya kuazimisha Miaka 13 ya Yeye kuwa kwenye game,Luge naye ameamua kufanya yake kwa kumtumia FA,kwa muda ule ule na siku ileile kwa Lengo la Kumfunika Jide au kumpunguzia wateja..
6..Vita kama hii nani atashinda..Nakalibisha maoni kwa wadau wote,ila tuwe na busara ktk uchangiaji
Naamini Mungu yupo na siku zote husimamia ukweli na usawa. Basi hapo Mungu atadhihirisha ukweli kwa kumuumbua mkandamizaji na kumwenua mkweli
Mungu yupo kwa ajili ya wote na kamwe hatoi hukumu kwa upendeleo.
Naomba pia tujulishwe ni kiasi gani Dada alilipa kwa familia za marehemu kwa kurudia nyimbo kama:-
"Siwema" wa marehemu Marijani Rajabu.
"Shida" wa marehemu Mbaraka Mwinshehe.
"Muhogo" wa Jang'ombe wa marehemu Bi Kidude.
Au dada "muadilifu" alitumia "mali kauli" ili hali yeye alitengeneza jina na mamilioni ya pesa.
Kumbe hujui hata kinachoendelea wewe...Km luge humjui nini unasema kuhusu habari chakavu..Pimbi weeee