Vita kati ya jide na luge wa clous fm

Vita kati ya jide na luge wa clous fm

Ukiona wenzako wanagombana chukua jembe ukalime
 
Naamini Mungu yupo na siku zote husimamia ukweli na usawa. Basi hapo Mungu atadhihirisha ukweli kwa kumuumbua mkandamizaji na kumwenua mkweli

Mambo mengine mungu ameyaacha dunia ili atoe adhabu siku ya malipo, angekua naadahibu wanyonyaji papo kwa papo mabepari/mabeberu wangeshatoweka kwenye uso wa dunia.
 
Huyu Luge nae kila mtu anamlalamikia atakuwa na matatizo
 
Sawa labda kuongea Kiswahili kidogo kuna ugumu hata kuandika pia??????? Kie kie kie kie
 
Hii bidii tungewekeza kwingine mbona tungetoka tu.......
 
1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana....

2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge..Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama Jide,hapo ndio vumbi likaanza..

3.Kwa Maelezo ya walaka wa Jide,anasema kuwa,imefika mahari,hadu wasanii wenzake,wamepigwa mkwara kufanya hata Kolabo ya Music na Jide kwa kupigwa Mkwara na Luge kwamba ,ni marufuku msanii anaye milikiwa na Luge,kujihusisha na Jide Kimuziki..

4.Luge ameamua kumzibua Jide,hadi kwa wazamini,km Vodaom,Airtel nk,kutompa sapot Jide Kwa Lolote..

5.Baada ya Jide kutaka kuzindua Show kabambe ya kuazimisha Miaka 13 ya Yeye kuwa kwenye game,Luge naye ameamua kufanya yake kwa kumtumia FA,kwa muda ule ule na siku ileile kwa Lengo la Kumfunika Jide au kumpunguzia wateja..

6..Vita kama hii nani atashinda..Nakalibisha maoni kwa wadau wote,ila tuwe na busara ktk uchangiaji

Uwe unatafuta msaada kabla ya kupost, Yaani hapa unatupa urahisi wa kuona ndani ya ubongo (kama x ray).

Sasa nashindwa kujua umeposti ili tuchangie hoja au tusahihishe ?
 
1.Ikumbuke kuwa Jide aliwahi kufanya kazi ya Utangazaji ktk kituo cha Clous Fm Miaka ya nyuma sana....

2.Awali Jide alikuwa ni Manager wa Luge
..
Baada ya Jide kuamua kijitoa na kusimam yeye kama Jide,hapo ndio vumbi likaanza..

3.Kwa Maelezo ya walaka wa Jide,anasema kuwa,imefika mahari,hadu wasanii wenzake,wamepigwa mkwara kufanya hata Kolabo ya Music na Jide kwa kupigwa Mkwara na Luge kwamba ,ni marufuku msanii anaye milikiwa na Luge,kujihusisha na Jide Kimuziki..

4.Luge ameamua kumzibua Jide,hadi kwa wazamini,km Vodaom,Airtel nk,kutompa sapot Jide Kwa Lolote..

5.Baada ya Jide kutaka kuzindua Show kabambe ya kuazimisha Miaka 13 ya Yeye kuwa kwenye game,Luge naye ameamua kufanya yake kwa kumtumia FA,kwa muda ule ule na siku ileile kwa Lengo la Kumfunika Jide au kumpunguzia wateja..

6..Vita kama hii nani atashinda..Nakalibisha maoni kwa wadau wote,ila tuwe na busara ktk uchangiaji
Ni macho yangu tu hapo kwenye Red au ni kweli kwamba Jide alikuwa zaidi ya Ruge?
 
Naamini Mungu yupo na siku zote husimamia ukweli na usawa. Basi hapo Mungu atadhihirisha ukweli kwa kumuumbua mkandamizaji na kumwenua mkweli

Mungu yupo kwa ajili ya wote na kamwe hatoi hukumu kwa upendeleo.

Naomba pia tujulishwe ni kiasi gani Dada alilipa kwa familia za marehemu kwa kurudia nyimbo kama:-

"Siwema" wa marehemu Marijani Rajabu.

"Shida" wa marehemu Mbaraka Mwinshehe.

"Muhogo" wa Jang'ombe wa marehemu Bi Kidude.

Au dada "muadilifu" alitumia "mali kauli" ili hali yeye alitengeneza jina na mamilioni ya pesa.
 
Kumbe mlalamikaji na mlalamikiwa wote dugu moja.
 
FYATU asante umesaidia yaliyokuwa ndani mwangu
nikaogopa mtoa mada anaonekana shari ipo kwa finger-tips!
 
Last edited by a moderator:
Usikute ruge ndo alimuua ngwea ili show ya hannivesare ya jide iahirishwe. Im just saying... Lol
 
Back
Top Bottom