Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Vita kati ya Uingereza na Zanzibar ya Sultan mwaka 1896 ndio vita fupi zaidi katika historia ya dunia, vilidumu kwa dakika 38 tu. Vita yenyewe ilipiganwa tarehe 27 August kuanzia saa tatu na dakika mbili mpaka saa tatu na dakika arobaini ikawa imeisha.
 
Wazanzibar walivyokuw Hawapend tabu. Hapo walighair vita wawahi urojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…