Tetesi: Vita kubwa kuibuka baina ya NA TO na Urusi?!!

Tetesi: Vita kubwa kuibuka baina ya NA TO na Urusi?!!

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
BBC iliripoti taarifa za ndege ya kirusi kulipuliwa na washirika wa NATO ikiwa na marubani wawili.

Taarifa hii ikitangazwa na BBC ingawa imeshafutwa hadi youtubyoutube.Je kuficha ukweli ama kuna makosa?!

Kwenye Breaking news hii kunaonekana video ya jeshi la Kirusi likishambulia makombora ya kutosha kuelekea kwenye majeshi ya UK/USA.

Kama ni kweli naona dalili ya vita ya 3 ya dunia kukaribia mapema sana.

Wajuvi na manguli wa hizi mambo si mbaya mkitujuza zaidi!
 

Attachments

VITA YA 3 YA DUNIA IMESHAANZA MASHARIKI YA KATI TOKEA BUSH AIINGILIE IRAQ ,ANGALIA MPAKA LEO NI WATU WANGAPI WAMEKUFA KUTOKANA NA VITA HUKO MASHARIKI YA KATI NA SASA KUNA SKENDO NYINGI ZA KIRUSI AMBAZO ANAVUMISHIWA NA HII VITA ITAENDELEA HADI MAGHARIBI
 
Sio fake news wakuu mi video nnayo ku upload nimeshindwa
 
Sio fake news wakuu mi video nnayo ku upload nimeshindwa
Hata mimi hiyo video ninayo ingawa mpaka sasa najaribu kusource vyanzo mbalimbali tofauti na BBC NADP sijawa updated with what is going on out there.
Whatever is said n seen might be true, tusubilie
 
Hahaha
Screenshot_20180416-160649.jpg
Screenshot_20180416-160702.jpg
Screenshot_20180416-160724.jpg
 
Hivi mnafaidika nini kuwadanganya watu kwa fake videos? HIYO VIDEO YA BREAKING NEWS YA BBC ni ya mwaka 2010,na sio real, ni fiction.
Hiyo ni Fiction ambayo BBC waliekti kuonyesha watu jinsi vita baridi vingetokea kuwa real ingekuwaje. Hiyo ni Fictious movie yenye dakika 55. Iko Youtube full, kama utaitaka youtube andika "Largest Nuclear Confrontation in Europe" hapo utaipata full kabisa. Narudia tena ni fictious movies iliyochezwa na BBC mwaka 2010.
 
NO WAY
CHANGA LA MACHO
WOTE HAO NDIYO WALE WALE TU
HAMNA CHA VITA WALA MAVI YA VITA
 
Chezea mdhungu!
Hamna kitu hapo!
Partners tu hao wote!
 
Jukwa limekuwa la ajabu sana hili,Waleta uzi wamekuwa vimeo tupu.Siyo wote tuna uwezo wa kuanzisha nyuzi humu,wengine tubaki wachangiaji tu kama sisi.Mambo ya kuanzisha nyuzi waachieni kina Malcom Lumumba
 
Back
Top Bottom