Tetesi: Vita kubwa kuibuka baina ya NA TO na Urusi?!!

Tetesi: Vita kubwa kuibuka baina ya NA TO na Urusi?!!

BBC iliripoti taarifa za ndege ya kirusi kulipuliwa na washirika wa NATO ikiwa na marubani wawili.

Taarifa hii ikitangazwa na BBC ingawa imeshafutwa hadi youtubyoutube.Je kuficha ukweli ama kuna makosa?!

Kwenye Breaking news hii kunaonekana video ya jeshi la Kirusi likishambulia makombora ya kutosha kuelekea kwenye majeshi ya UK/USA.

Kama ni kweli naona dalili ya vita ya 3 ya dunia kukaribia mapema sana.

Wajuvi na manguli wa hizi mambo si mbaya mkitujuza zaidi!
Mbona kwenye hiyo video mwisho anataja timu za mpira wa miguu[emoji13] [emoji13]
Eti Manchester united
Liverpool
Ipswitch
Coventry
Chelsea
Swansea
Birmingham
Leeds united
New castle
Shuffield united
Sunderland
Southampton[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom