MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Vilianzishwa na Austro-Hungary aliyetaka kuvamia Bosnia baada ya kuuwawa mwanamfalme Francis Ferdinand.Hi vita ilianzishwa na Ujerumani ilitaka kuonyesha mguvu zao katika uchumi matokeo yake walishindwa na kunyang'anywa makoloni kama adhabu
Ujerumani na Urusi kila waliingia baadaye kila mtu kulinda swahiba wake.