MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,113 Reaction score 65,124 Jan 26, 2021 #21 Sky Eclat said: Hi vita ilianzishwa na Ujerumani ilitaka kuonyesha mguvu zao katika uchumi matokeo yake walishindwa na kunyang'anywa makoloni kama adhabu Click to expand... Vilianzishwa na Austro-Hungary aliyetaka kuvamia Bosnia baada ya kuuwawa mwanamfalme Francis Ferdinand. Ujerumani na Urusi kila waliingia baadaye kila mtu kulinda swahiba wake.
Sky Eclat said: Hi vita ilianzishwa na Ujerumani ilitaka kuonyesha mguvu zao katika uchumi matokeo yake walishindwa na kunyang'anywa makoloni kama adhabu Click to expand... Vilianzishwa na Austro-Hungary aliyetaka kuvamia Bosnia baada ya kuuwawa mwanamfalme Francis Ferdinand. Ujerumani na Urusi kila waliingia baadaye kila mtu kulinda swahiba wake.