Vita mpya mjini, Mama Diamond vs Shilole

Katoka France huyu?mbona mwajuma ndara ndefu ,hata odometer yake itasoma zile za magari ya fast rally, yaani Diamond anakaa na huyu ndo aangaishane nae mi hata nikimkuta jalalani ntamwacha.
 
Tokea mpaka sasa mwanao mama dangote umeonesha nini zaidi ya kuzalisha.na wewe kutafuta wakukulea.

Katika sehemu usijekosea kigoma hawa kabila hili.wanajua mpaka wasicho kijua
Unatulaumu bure sisi watu wa Kigoma, kwanza hata huyo Domo hatumtambui kama wa kigoma, lakini zingatia kabira la kigoma ndio watu pekee tunajitahidi kupambana kiuchumi kuliko watu wa majiji wanaopambana na majungu na kukaa vijiwe vya kahawa kuhesabu nani kapaka poda vizuri, jaribu kutuheshimu kiongozi wangu
 
Shilole anagonga Kifaransa kama kazaliwa Bodeux.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…