MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
MwanaJamii; si mzee Kawawa ni Vita ni mtoto wa wa mzee kawawa ndiye anazungumziwa hapa.
Inaelekea cv yake bungeni inawalakini.
Waliona habari kamiri endeleeni kutu habarisha.
ππππππππ
2015 mbona mbali hawa dawa yao ni kuwaroga tu
Kumezuka kamtindo ka viongozi wetu kurithisha wanawao madalaka ya nchi hii.
Najua kwamba kuna watu wanakuja na hoja kwamba kwani ni vibaya? Sawa si vibaya lakini haka kamtindo kamezuka.
Nami nawambia nyie msio na mama au baba kiongozi wa nchi hii huko mbele subirini kama mtapata uongozi wa nchi hii.
Mwaka 2015 utasikia Ridhiwani naye anagombea ubungeπ
Mbona umekuja na wahaka.........hakuna aliebisha kuwa sytem ya dip miaka 2 na mwaka mmoja wa adv dipl ipo...Ukisikia ku make a storm in a tea cup ni huku sasa.... Vita ni Mbunge tena Mbunge wa kuchaguliwa na sio kuteuliwa sasa kama kurithishwa ni wananchi waliomchagua ndio waliofanya hivyo.
CV ya Vita ipo safi kabisa, nilikuwa pale CBE ukimaliza DBA ya miaka miwili ukiamua unamalizia tu mwaka mmoja na kuchukua advanced Diploma utaratibu huo upo hata hapa UK ukimaliza HND ( Higher National Diploma ) miaka miwili unamalizia mwaka mmoja na kupewa degree. Sasa why all the fuss?
Mh Vita hajafoji cheti kama yule Mbunge wa Buchosha na humo bungeni kunalundo la ma standard seven na form four failures, majungu tu yamewajaa.
Afterall kigezo cha chini kuwa Mbunge ni kujua na kusoma kiswahili sasa mtu mwenye advanced Diploma mnahoji ukisikia personal vendetta ndio hizi
Mbona umekuja na wahaka.........hakuna aliebisha kuwa sytem ya dip miaka 2 na mwaka mmoja wa adv dipl ipo...
Vita kwenye Cv yake hakujaonyeshwa kama alipata diploma ya miaka mi2 kabla ya mwaka mmoja huo wa adv diploma......
Sijakataa........lakini ile ya dip ya miaka miwili sioni au alisoma akiwa O level?Ur missing the whole point qualification wise hutangulizwa ile kubwa kama kwa kuwa kishapata adv dip ambayo ni extension ya ord dip kuweka tena ord dip ingekuwa ni tautology isiyo na lazima....
Tuache udaku wa vijiwe/saloon za ususi. tuongee hoja nzito.unaweza kuwa na degree nyingi tuu ukawa bomu
Huyu ndio mbunge wa jimbo la Namtumbo na ufuatao ndio wasifu wake kwa mujibu wa tovuti ya Bunge
Kazaliwa Mwaka 1964
Elimu yake ni kama ifuatavyo
Shule ya msingi Turian:1972-78
Sekondari Agakhan Mzizima :1979-82
Elimu ya juu College of Business Education:Advanced Diploma in Business Administration:1988-89 and Certificate in Computer Data Processing mwaka huu huu 1988 mpaka 1989
Pia kahudhuria
The City and Guilds of London Institute na kutunukiwa The City and Guilds of London Institute mwaka 1996